Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Nilitaka kumfahamu mtu humu ndani ndo nikawa na comment kiuchokoz,sasa nimeshamjua.
 
kwahiyo hujapata mtu na bado unatafuta? mwanaume huridhiki wewe. Unadhani hujulikani. Wewe si ushapata mtu tena unaishi naye kwako? comments zako kadhaa zinaonyesha unaishi na mwanamke... au sio wewe ? Kaka acha kumpotezea binti wa watu muda, mwanamke bado mdogo tu na watu kibao wanammendea ila kaamua kutulia kwako lakini huachi gubu kutwa kumnyima raha binti wa watu. Binti kajitoa sana kwako, hivi usawa huu utatoa wapi mwanamke asiyependa makuu.....kama vipi mpige kibuti tumuibukie
 
Nyie watu mnafahamiana kabisa yani mnachekesha kweli
 
Cha ajabu ameharibu uzi,kageuza uzi kuwa wa kunishambulia mimi wakati mleta uzi alikuwa anamzungumzia Aslay.
 
m

Cha ajabu ameharibu uzi,kageuza uzi kuwa wa kunishambulia mimi wakati mleta uzi alikuwa anamzungumzia Aslay.
comments zako za kipuuzi ndo zimenifanya nikushambulie......kuna siku ulileta thread hapa kwamba mkeo kalala kwa watoto then leo unasema hujapata mtu wakati ulitafuta mtu hapahapa JF then unamkana mtoto wa watu. Acha ujinga kumkana mwenzio wewe! nyie ndo mnakuja hapa mnajifanya mpo single mnatafuta wachumba kumbe miyeyusho.....punguza gubu
 
Jf bwana ni virtual world flani ukichagua kuishi ndani yake unaweza chekesha
 
Kwanza nini maana ya gubu? Pili ni post ipi niliposemabsijapata mtu? Halafu mbona umetokwa na povu jingi sana kiasi hicho?
 
Jf bwana ni virtual world flani ukichagua kuishi ndani yake unaweza chekesha
Inachekesha sana,mtu anamlisha mwingine maneno,halafu anayatumia maneno hayo kumhukumu mwingine! Ndo maana nikasema haya ni mambo ya jf.
 
Mkuu ayanda ni nani huyo kadanganyika humu?
 
Kwanza nini maana ya gubu? Pili ni post ipi niliposemabsijapata mtu? Halafu mbona umetokwa na povu jingi sana kiasi hicho?
Wewe unajulikana kwa comments zako za kishenzi...unawachukulia wanawake kama toy flani hivi bila kujua kwamba nao ni binadamu wana hisia sawa na wanaume. Unaonyesha wazi ni mtu mwenye kisirani. Ulishasema mkeo kaondoka then ukaja hapa unatafuta mchumba then badae ukaja na stori za mwanamke wako kulala kwa watoto then leo unasema huoni haja ya kuoa unachofanya unagonga tu na kusepa...... huu ni ubwazwazwa wa kiume ambao ni ukatili kwa wanawake....kima weeee...isitoshe unatongoza mademu hapa JF na kwenye tangazo lako la kutafuta mchumba ulisema etu wewe ni mwanaume wa makamo kwa maana upo kwenye miaka ya 39 hadi 40 na ushee huko lakini unakua kama vile ulibalehe juzi....BADILIKA
 
Fella kasaidia sana kuwaibua na kuwakuza vijana hawa,lazima apewe credit .Kama alikuwa anawalipa kidogo siyo issue,dunia ya leo ni scratch my back ,I scracth yours,hakuna namna ambayo leo hii mtu atakubeba na asifaidike na kazi unayoifanya.Kama Aslay kapata matunzo na faida zaidi kuliko kwa Fella ni suala zuri lkn halitoshi kumpuuza Fella.
 
Msanii huyo ameandika haya...

"Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma unaongea"


Fella ndo pathfinder wa Aslay, asimnyooshee kidole cha ubaya. Hatakuwa na tofauti na Saida Kalori alipomnyooshea kidole cha ubaya Mutahaba siku zile.
 
Msanii huyo ameandika haya...

"Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma unaongea"



Mkuu tungependa kujua na Wewe la Kwako labda ni la aina gani ili tuweze kulithaminisha na Aslay na Mkubwa Fella.
 
Mkuu umekasirika sana aisee msamehe bure.
Ila samahani wewe ni me au ke.
Sina nia mbaya nauliza in good faith ili nipate kujua kwanini umekasirika kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…