Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Mi nasubiria sijui mmama gani wa bongo movie atakuja kumuoa na huyu
 

Inaonekana nyie mnajuana vizuri sana nje ya hapa
 
kwahiyo ushapata mchumba ama? ni kitu gani ulitaka kuprove. Mimi natafuta mchumba lakini humu JF siddani kama kuna mwanaume yupo serious. kwahiyo ulikua unazuga?
Ebu njoo chamber achana na huyo ila kama upo serious
 
Thamani ya gari na nyumba zipoje, maana fella kawapa nyumba km gari lina thamani kuliko nyumba sawa... Kumbuka alimtoa ndio nguzo ya maisha yake hao wte wamepata mteremko tu sababu dogo mwenyewe tayari yupo juu. Msingi aliujenga huyo mnaye muita mnyonyajj
 
Mbona gari haina plate number au mie mshamba [emoji849]
 
Kumbe Fella ni mnyonyaji. Afadhali basi dogo afaidi matunda yake
Mmmh...lkn mbona hata kule alikuwa na gari?mi naona ni muda wake tu ulikuwa haujafika wa kumiliki hilo gari...vipi ikitokea amekuwa na meneja mpya akanunua gari kali zaidi?maana yake huyu wa sasa ataonekana mnyonyaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…