Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Safiii sanaa Aslay yanii Katika wasaniii wanaojielewaaa Wewe Namba mojaaa...!! Nakukubali sanaa...Hayo ndo maendeleo unayostahilii...achana na chupii hazinaa maana
Aliyekwambia chupi hatumii nani????......kazi na dawa mzee baba
 
Hata ukitaka 0713 unapata.

alafu raha ya kutokuoa unapata ukitakacho...ukitaka black and fat unapata..ukitaka ebony unapata.ukitaka slander

ukitaka mtoto unapata

kabisa yani.Safi sana Jomba.Kuoa ni upuuzi flani hivi..mimi si support kabisa

kuoa sio jambo la msingi sana..Unaoa ili upate nini? wakati vitu vyote unaweza pata bila huko kuoa

UNAWEZA UKAPATA KUMBE NDIO UMEKOSA ,NA PIA UNAWEZA UKAKOSA KUMBE NDIO UMEPATA......

THINK BIG TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
 


Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?
Mkuu zote ni asset ....asset pia zimegawanyika .....unataka kuniambia gari ni liabilities ????
 
UNAWEZA UKAPATA KUMBE NDIO UMEKOSA ,NA PIA UNAWEZA UKAKOSA KUMBE NDIO UMEPATA......

THINK BIG TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
aisee basi utakuwa popoma.i go for what i want..always.
and i am the master of my destiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…