TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto Kabwe. ACT walitakiwa wakabidhi ofisi kwa CCM tangu trh 25 February.
Leo kwenye mitandao ya kijamii hasa Twitter kumekuwa na majibizano kati ya members na Adimin wa akaunti ya TCD, baada ya Admin kubanwa kwa maswali akapost picha ya Zitto yenye maneno Foward Forever. Backward Never. Unity is Power.
Baada ya kuambiwa wanaitumia TCD personal admn kaifunga akaunti.