Admin wetu ndugu Zitto wacha woga😀TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo, uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto Kabwe.
Leo kumekuwa na majibizano kati ya members wa Twitter na Adimin wa akaunti ya TCD, baada ya Admin kubanwa kwa maswali akapost picha ya Zitto yenye maneno Foward Forever. Backward Never. Unity is Power.
View attachment 2156260
Baada ya kuambiwa wanaitumia TCD personal admn kaifunga akaunti.
View attachment 2156280
Reconciliation session postponed due to Venue disagreement.....TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo, uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto Kabwe.
Leo kwenye mitandao ya kijamii hasa Twitter kumekuwa na majibizano kati ya members na Adimin wa akaunti ya TCD, baada ya Admin kubanwa kwa maswali akapost picha ya Zitto yenye maneno Foward Forever. Backward Never. Unity is Power.
View attachment 2156260
Baada ya kuambiwa wanaitumia TCD personal admn kaifunga akaunti.
View attachment 2156280
Muda wake umeisha alitakiwa akabidhi kiti kwa CCM trh 25 February, lkn labda kwa lengo maalumu kashauriwa amalizie kwanza.Namshauri Zitto angeachia hiyo nafasi hata kama muda wake haujaisha ili aishi kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Center for Democracy halafu wanafunga MAONI ya watu [emoji23]
Nashauri CDM wapambane wakiwa ndani ya hiyo TCD, kila mbinu na fursa itumike kulitoa taifa katika mfumo Giza wa mfalme mwenyekiti wa CCM.
Mambo ya kususia hayana tija dunia ya leo.
Kuna vyama havijawahi kushiriki hata uchaguzi mmoja ndivyo vya kwanza kudai reconciliation.Namshauri Zitto angeachia hiyo nafasi hata kama muda wake haujaisha ili aishi kwa amani.
Nionavyo uwepo wa hii TCD ni unafiki tu, na hii ndiyo inayotumiwa na CCM kwa manufaa yake kwa kuwapanga wapinzani wasiojielewa ili kulinda maslahi ya watawala kwa kutuliza njaa za baadhi ya wapinzani.
Naamini huko mbele ya safari kama hali itaendelea kubaki kama ilivyo sasa hii TCD inaenda kufa, itabaki na uwakilishi wa vyama vichache marafiki wa CCM matokeo yake jamii itapuuza uwepo wake.