tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa muziki wa gospel Tanzania, kwa kuangalia video hii umemtambua nani ambae kwa sasa ni mwanamziki mkubwa sana hapa Tanzania hasa muziki wa injili (gospel Music)