Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

Mkuu Eberhad naomba uni PM namba yako maana naona nitajifunza vyema kwa shamba darasa..mm Niko Moro,namalizia kujikusanya nianze kupambana.hizi ajira za kunyanyasana zimetuchosha..!
 
Mi nakupongeza kwa kuanzia uwezo wako unapofikia hasa mabanda, bei hiyo unauza nyama au ni nguruwe anapimwa kwenye mzani akiwa mzimamzima? Hongera sana
 
Nasubiri kuona picha current za mifugo
 
Kwa maitaji ya mbolea za kisasa ili mazao yako yawe bora zaidi ni tafute tufanye biashara
 

Kuku gani wazuri kufuga? Kisasa au kienyeji?
 
I must put this into use,and will bring feedback,i promise
 
Da umetisha Mi mwenyewe ka degree kanaozea kabatini ngoja nichangamkie fursa.
 
Aisee mimi mwenyewe nlikua naingia jamii forum kwaajili ya kuangalia Ideas hasa za ujasilia mali...na ule uzi ulikua msaada mkubwa sana kwangu,nmejenga mabanda lushoto na nmeweka Nguruwe nane kwa kuanzia...napenda sana vjana tukipeana njia za kujikomboa wenyewe...Shukrani sana kwa aliye leta ule uzi na wanajamii forum wote walochangia...maana mawazo yao yanasaidia wengi...(nlijua n mm2,kumbe na wengine...!!!!!).
 
Ama kweli umenitia moyo na ujasiri, ingawa mafanikio yanaweza kuwepo au kutokuwepo,
Tulipo fikia vijana ni pazuri,yaani kusubutu, ningependa apatikane mtu au mtaaram atujuze yafuatayo
1) watoto wa nguruwe wanabei gani.
2)gharama ya kutengeneza banda la kawaida
3)gharama za kuwalisha kwa mwezi
4) eneo lenyeukubwa gani unaweza fuga ngurue wangapi
5)wanatosha kuliwa ktk umri gani
nazani mambo haya yatatusaidia.
 
Eberhard alishafulia, project ilifeli na ndiomaana yupo kimya mpaka leo. Kila akiulizwa hana cha kujibu anaona aibu kwakuwa alikuja kwa mbwembwe afu amechemsha.

Nilimtembelea shambani kwake kiukweli hali ni mbaya ameuza kila kitu amebakiwa na robo eka tu ya shamba ambapo kuna kijumba chake cha kuishi.

Usijali mkuu, katika maisha kufeli ni kawaida na wala usione aibu.
 
Last edited by a moderator:

unauhakika na unachokiandika ? Au siyo huyu wa jf,usitukatishe tamaa tunaotaka kuingia kwenye kilimo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…