Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

Ngoja tuendelee kumsubiri pengine atarudi na mrejesho wenye matumaini
 
Usijali mkuu. Nitakupm ili tuwasiliame. Tena kwa yeyote atayetaka mitiki nitamuunganishia miche Kwa sh 300 Kwa mche. Kipindi kipindi Cha kupanda mitiki ni kipindi Cha mvua.
Haleluya mteule u nailed it!Nimecheka sana kujikombakomba hahhaha.naomba nipm na mimi pl if you dont mind.
Ahsante kwa kushare .
 
Nimekupata. Mungu akubariki sana. Hata hivyo umezungumzia assumptions mbili. Moja mradi sio wangu hivyo nilienda siku moja tu kupiga picha. Naomba nikuhakikishie kwamba mradi ni wangu na mimi ndiyo mmiliki halali wa mradi huo ambao picha zake zimewekwa hapo. Naomba ufahamu kuwa hapa tofautisha JF na whatsap au Fb. Hapa informations za mtu zinakuwa secret vinginevyo mtu mwenyewe aamue kutoa nje. Nilijitahidi kwa uwezo wangu kuwapa mwanga vijana kwa kuweka mambo wazi kuhusu mradi wangu. Nilisema anayetaka kujifunza karibu shambani kwangu Morogoro.

Pili naomba nikuhakikishie kuwa ujasiriamali unalipa ila upaswi kukurupuka. Fikiria tena na tena kabla hujaanzisha mradi. Fanya tafiti na uziprove. Tafuta mradi unaolipa. Usiigeige tu buni vya kwako hata ikitolea unaiga usifanye haraka haraka kama mchina paste and copy utakwama.

Mwisho karibu shambani kwangu.
 
Kwanza hongera kwa kutokea na kujaribu kujibu mapigo. Tupia picha za sasa hivi, sio kila mtu anakaa Morogoro, wengine tuko mbali. Tunaweza kuona picha za mbali huko Australia nk itakuwa za hapo Moro ndugu yangu. Acha jazba, wewe toa picha za sasa hivi tuone maendeleo yalipofikia.
 
kaka me binafsi nilikuwa na mpango wa kufuga hao nguruwe na kuku. coz nlimalza form 4 mwaka juzi tu. tangu utoton nina hobby na ufugaji. kwa tangu nilipomalza shule nilikuwa najichanga ili nije kuanza mladi kama huo.

naomba unisaidie namba zako ili nije kutembelea nijionee mwenyew kuliko kusikia ya watu tu. au kusoma tu kama hivi.
 
mkuu vipi.
mbona kimya sana. nilikuwa nataka kujua kuusu maendeleo yako. ikiwezekan nije kutembelea mradi wako. Mana na mm nilitaka kuanza ufugaji wa nguruwe
 
mkuu vipi.
mbona kimya sana. nilikuwa nataka kujua kuusu maendeleo yako. ikiwezekan nije kutembelea mradi wako. Mana na mm nilitaka kuanza ufugaji wa nguruwe
karibu sana. Ukifika tuwasiliane.
 
baraka za MWENYE ENZI MUNGU ziko na wewe! azidi kukuongezea ukawe mfano mzuri kwa next generation! ubarikiwe sana...
 
sasa mkuu hujanipa contact zako ntafikaje
 
Kaka plz naomba mawasiliano yako...sisi tuna kikundi ila ndio mwanza kichanga na ndio tunampango huo wa ufugajii...plz tungependa kuja kukutembelea kuja kujifunza kidogo toma kwako sisi tupo apa kihonda au nipigie kwa namba hii 0712 741466 ...wewe ni role modal wetu

Mi nipo Dar ningependa Siku Moja Nije kwako tubadilishane mawazo Mawili matatu. Nimemaliza degree ya Kwanza ya kilimo. Naamini kilimo kitatukomboa vijana. Naomba Sana nitafute ndugu .0653212417 au 0764988935
 
Karibu sana
 
Mkuu Eberhard, naomba nikutembelee huko Maji Chumvi, naomba nijifunze kutoka kwako ufugaji wa nguruwe. Nina Eneo hapo njovu ekari tano.
 
Mkuu unajua wapi naweza pata watoto wa nguruwe Mwanza? Naomba msaada wako nahitaji Kama 30-50 , natanguliza shukurani Kama unajua wapi wanauza.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…