Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

Wazo zuri mkuu,Mungu akusimamie utimize ndoto yako.

..huyu ndugu yetu Mohamed Mtoi alifariki kwa ajali ya gari wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015.

..alikuwa anagombea kwa tiketi ya chadema nadhani jimbo la Lushoto mkoani Tanga.

..Mohamed alikuwa mwanachama muungwana sana hapa JF.

..Tuzidi kumuombea DUA njema.
 
Safi sana mkuu, Hiyo fursa ya kukutembelea tunaikosa tulio mbali Mungu akijaalia uzima na mimi nikiwa karibu nitakutafuta nije kukutembelea mkuu, Mungu azidi kukubariki na kukushushia baraka ufikie malengo yako kaka.
Takribani miaka 8 imetimia tangu ulete uzi huu.

Bila shaka una mengi ya kushare, naomba ushare hapa tuweze kuelimika n

..huyu ndugu yetu Mohamed Mtoi alifariki kwa ajali ya gari wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015.

..alikuwa anagombea kwa tiketi ya chadema nadhani jimbo la Lushoto mkoani Tanga.

..Mohamed alikuwa mwanachama muungwana sana hapa JF.

..Tuzidi kumuombea DUA njema.
Ni kweli. Mtoi alikuwa mwanachama nzuri. Pia aliwahi kunifata mm inbox kwa mipango zaidi ya kilimo. Kwa bahati mbaya sana akawa amefariki kabla ya kutimiza ndoto zake.
 
Ukulima na ufugaji ni biashara ya ziada sio mbiashara ya kuaminia kbsa
Nasema hivi km mfugaji ni bora ata uanzishe shamba la kufuga mbwa na kuwauza hii inalipa sana
Mbwa wanaanzia laki 1 ad million 5 kulingana tu na umefugwa mbwa wa aina gan

Nina mbuzi 100+ ila nikiwauza napata milion 10/15
Ufugaji na ukulima kutajirika ni kaz sana labda uwe tapel km Mr kuku na mbwana manguruwe
Mbuzi 100 nmetumia zaidi ya
Miaka 4/5 kuwafikisha ila nikiuza ata IST sinunui
 
Mwa gani anauzwa mil 5 wewe?
 
Kwahio mkuu unashauri watu tusifuge au tusubiri uzeeni ndio tuanze kuwaza ufugaji?.
 
Back
Top Bottom