Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

Safi sana mkuu kwa kutufungua ubongo sisi kizazi cha .com tunaokaa vijiweni na kusubiri white color job huku umri ukizidi songa mbele bila ya huruma..
 
Daah! thnx Kiongozi MALILA niliisubiri sana hii SHULE nitazingatia haya maelezo! Ila usinichoke2 bado nina maswali mengi! Swali lingine unadhani niwapi naweza kupata hz mbegu! na kitaalam inatakiwa niwachukue wakuanzia Umri gani?
 
Asante sana, mkuu Malila , hakika hiki ni Chuo Kikuu cha Ujasiriamali wa Kilimo na Mifugo cha JF! Endeleeni kutupa Mihadhara iliyoshiba neeema wahadhiri wetu. Karibu tunahitimu. Mungu awabariki sana!!
 
Daah! thnx Kiongozi MALILA niliisubiri sana hii SHULE nitazingatia haya maelezo! Ila usinichoke2 bado nina maswali mengi! Swali lingine unadhani niwapi naweza kupata hz mbegu! na kitaalam inatakiwa niwachukue wakuanzia Umri gani?

Ukienda SUA unaweza pata mbegu nzuri, sijui kama watakuwa wameacha sasa hivi. Piglets wa miezi miwili ni wazuri kwa kuanza kuwafuga. Ukienda SUA unaweza pata large white na landrace. Wapo wakulima wengine ninaweza kukuunganisha kama utahitaji.
 
Mkuu MALILA nakushukuru na Endelea kubarikiwa sana! Naomba uniunganishe nahao wakulima wengine 7bu nikiwa na Options zaidi ya 1 itanisaidia Waweza kunitupia mawacliano ya hao ndg kwa Email yangu,ezraemanuel12@gmail.com au mobile 0758 551 103
 
Wakuu nguruwe wangu mmoja ameanza kuumwa leo. Yaani amenyong'onyea na tumemuwekea chakula amekula kidogo sana. Tulichofanya tumemtenga na wengine. Msaada wa ushauri wakuu. Tuko pamoja sana wakuu.
 
Wakuu nguruwe wangu mmoja ameanza kuumwa leo. Yaani amenyong'onyea na tumemuwekea chakula amekuwa kidogo s sana. Tulichofanya tumemtenga na wengine. Msaada wa ushauri wakuu. Yuko pamoja sana wakuu.
Poleni sana je kuna Bwana mifugo jirani au famasi? pia kama kuna anayefuga nguruwe jirani au mbali unakuwa na contact zao ili kubadilishana mawazo. Endelea kumtenga lakini ukiwa na mtaalamu wa mifugo anayekutembelea hata mara moja kwa mwezi hadi uwe umezoea dalili za magonjwa na dawa muhimu ingesaidia sana. Hapa mwisho wa wiki watu wanakuwa hamna. Mjaribu pm Malila pia na yeyote anayefuga.
 
Thanks mama Joe. Tuefanikiwa kuonana na mtaalamu. tumempatia dawa na sasa anaedelea vizuri.
 
Habari mkuu,
Nimejaribu sana kukutafuta kwa kutumia namba uliyoweka hapa jamvini lakini hupatikani...tafadhali kama hutajali ingia PM ili nikupe namba yangu.

Natanguliza shukrani.
 
mkuu namba ile inapatikana tu. may be ilipiga simu ikiwa chagi. karibu mkuu.
 
Mkuu samahani natoka nje ya mada kidogo,naomba kukuuliza kama unafahamu lolote juu ya miti ya mitiki,je kuna ukweli wowote kua miti ya mitiki ikifikia umri wa kuanzia miaka minne unaweza kwenda Bank na kuchukulia mkopo?
 
Sio kienyeji kama inavyosemwa mitaani kaka,kuna mambo ya scale( ina maana hata ukiwa na miti kumi basi unaenda bank), je umiliki wa ardhi iliyobeba miti hiyo unakuwaje? Na mimi nasikia hivyo.

Nikudokeze lingine,hata suala la kupima hewa ya ukaa ktk misitu yetu haliko wazi kama wanasiasa wanavyosema,ukiingia kwenye shughuli yenyewe ndio utajua kinachotakiwa.

Ili kuvutia bank inabidi uwe na scale ya shamba ya kueleweka pamoja na land ownership iliyoclear. Sijui, labda hizi bank mpya.
 
Ni kweli mkuu Malila. Turudi kwenye mada sasa. Mkuu kuku wangu wanakufa hadi wanakatisha tamaa. Sasa hivi wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa. Naungumzia vifaranga mkuu. Kisababishi kikuba cha vifo ni Panya mkuu. Yaani panya wa shambani kwangu hawana huruma hata kidogo juzi niligundua shimo lenye vichwa tisa vya vifaranga. pia moja na madawa ninayowapa lakini bado wanakufa kwa wingi. Msaada wa ushauri/ mawazo mkuu.
 
fafanua,wanakufa kwa ugonjwa au wanashambuliwa na hao panya?
 
Ni kweli mkuu Malila. Turudi kwenye mada sasa. Mkuu kuku wangu wanakufa hadi wanakatisha tamaa. Sasa hivi wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa. Naungumzia vifaranga mkuu. Kisababishi kikuba cha vifo ni Panya mkuu. Yaani panya wa shambani kwangu hawana huruma hata kidogo juzi niligundua shimo lenye vichwa tisa vya vifaranga. pia moja na madawa ninayowapa lakini bado wanakufa kwa wingi. Msaada wa ushauri/ mawazo mkuu.

Mimi sio mtaalam wa mambo haya ila nakushauri ufanye utaratibu wa kuwaelea vifaranga wako separatelly .

Yaani unawapa chakula na kuwafungia hadi wakifika umri mkubwa kidogo ndio unawaachia.
 
Ni kweli mkuu Malila. Turudi kwenye mada sasa. Mkuu kuku wangu wanakufa hadi wanakatisha tamaa. Sasa hivi wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa. Naungumzia vifaranga mkuu. Kisababishi kikuba cha vifo ni Panya mkuu. Yaani panya wa shambani kwangu hawana huruma hata kidogo juzi niligundua shimo lenye vichwa tisa vya vifaranga. pia moja na madawa ninayowapa lakini bado wanakufa kwa wingi. Msaada wa ushauri/ mawazo mkuu.
Pole sana mkuu yaani panya ni balaa hata paka pia, mimi ndo maana huwa naona bora nipande miti ya vivuli kama sina uwezo wa ukuta nijenge full suti ya mabati na madirisha ya wavu makubwa kupitisha hewa. Panya wanakula chakula pia wanaleta magonjwa. Hapa Kubota alielezea mbinu ya kufukia ndoo kwenye maeneo unayoona wanapenda kutembelea nje ya banda nadhani na wewe fukia ndoo yenye maji jirani na hilo shimo na kwingine. Hebu msome tena kwenye ile thread. Halafu angalia chakula chao hadi wiki ya 4 ni starter halafu unahamia finisher hadi wawe vinyoya wakubwa. Mungu akutie nguvu.
 
Unaponunua nguruwe wa kufuga angalia idadi ya chuchu za majike. Nimeona nitoe hii njia rahisi ya kujua mbegu nzuri ya hawa nguruwe.

Nguruwe jike mwenye chuchu 12 au 14 ni mzuri sana kwa sababu anaweza kuzaa mizao mpaka mitano bila kubadilika umbo lake(kunenepa mpaka kushindwa kuinuka) na hivyo kukuhakikishia faida kubwa. Ukiona jike mwenye chuchu 16 au 18, ujue huyo anaweza akazaa vizuri mara mbili,halafu akanenepa sana hadi kuburuza tumbo,kundi la large white wanaangukia hapa. Kundi hili la chuchu nyingi ni wazuri sana kwa biashara sababu wananenepa haraka sana,tatizo ndilo hilo la kununua majike kila wakati.

Kwa hiyo, kupitia ujanja wa kuhesabu chuchu, unaweza chagua mbegu sawa na plan zako. Kwa anayeanza, ni bora kuanza na hawa wa chuchu chache ili upate wazazi wengi wanaoweza kutema mzigo wa nguvu kwa muda mrefu. Mradi ukishasimama,unaanza kuchanganya na hawa wa chuchu nyingi.

Nguruwe ni heavy feeder, andaa bustani kabisa kwa sababu anazalisha mbolea bora nyingi kwa muda mfupi.

Mkuu, samahani unaweza kunisaidia kujua nguruwe wanakula chakula gani? maana najiaandaa kuanza kufuga hao nguruwe ila nataka chakula ambacho naweza kutengeneza au kulima nmimi mwenyewe ambacho nikiwapa watakula freshi na hawatadumaa.
 
Kwanza ni lazima ujue kuwa nguruwe ni omnivore,Yaani anakula vyakula vyote vinavyoliwa na ni heavy feeder. Kinachotakiwa ni kwamba nguruwe lazima ale mlo kamili ili aweze kufikia uzito aw soko mapema. Kisha uwe na muda maalumu aw kumlisha. Ngoja nitafute mchanganyiko aw misosi ya nguruwe kisha nikupe.
 
Back
Top Bottom