Baada ya kuangalia mechi kadhaa za Niyonzima akiwa Simba

Manara anawaharibia timu yenu ya Simba. Ile siku ya Simba day alivyokuwa anamtambulisha Niyonzima utafikiri alikuwa anamtambulisha Messi au Ronaldo. Bahati mbaya anayoyafanya sio yale waliyotegemea kuyaona kutoka kwa Niyonzima.
 
My friend hujanielewa! hata mm ni fan wa man utd and i like him! Sijamfananisha na chochote na hafanani na yeyote ila nmeongelea situation iliyomkuta msimu wa kwanza alposajiliwa utd
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Habarini!
Mimi ni mshabiki wa Simba Sports Club, ningependa kwemda moja kwa moja kwenye mada kuwa uongozi wa Simba kwa kweli walikurupuka kumsajili Niyonzima. Mpaka sasa kwa kweli sijaona mpira wowote akicheza kuisaidia Simba. Wanamuita pass master ila pasi zake ni sideways zaidi ya forwards.
Ni ukweli usiopingika kuwa Niyonzima alisajiliwa kwa shinikizo la kuvutia tu mashabiki wa Simba kuwa wanachukua mchezaji wa Yanga ambaye kwa misimu kadhaa alikuwa mchezaji wao bora.
Kibaya zaidi kinaniumiza ni Niyonzima (mrwanda) kaja waharibia namba za kudumu watanzania (Ndemla na Mzamiru) ambao kwa kweli walikuwa wanaanza kuchipuka!
Mzamiru na Ndemla wa Simba ni wazuri mara nne ya Niyonzima wa Simba.
Inasikitisha sana, nimekuwa nampa muda ila kwa kweli haoneshi kiwango kipya chochote, pia hakuhitajika Simba maana nafasi zake zilikiwa zina watu tayari wanazitendea haki.
Matokeo ya leo nimeyapokea kwa moyo mkunjufu, kama ni kuweka mkeka kwa kweli niliiona droo ni wiki sasa!
Uzuri wa mchezaji sio kufunga magoli tu na hasa kwa kiungo.wewe mchango wa Niyonzima SIMBA huwezi kuuona kwasababu umezoea mipira ya kutumia maguvu.Yeye anarahisisha mpira unaonekana kitu rahisi sana.Goli la kusawazisha siku ya mechi na mtibwa ilikuwa ni pasi chonganishi ya Niyonzima iliyosababisha okwi kafanyiwa faulo, leo kaokoa mara mbili na zile pasi chonganishi wewe huwezijua thamani yake!
 
Kweli mkuu....hizo pesa za Niyonzima ni bora wangembakisha AJIBU.....

Makofia alitaka kumlalia Ajibu ampige cha juu. Dogo kastuka,nasikia hizo 120m wala ajachukua zote Niyo. Makofia kala 40 Niyo kala 80 ndiyo maana akazi kihivyo kwani anajua mshiko hajala pekeyake. Hivyo anaye mtetezi. Hata mfanye nini atapangwa tu first 11 ya Wa mchangani.
 
Manara anawaharibia timu yenu ya Simba. Ile siku ya Simba day alivyokuwa anamtambulisha Niyonzima utafikiri alikuwa anamtambulisha Messi au Ronaldo. Bahati mbaya anayoyafanya sio yale waliyotegemea kuyaona kutoka kwa Niyonzima.

Watu mna maneno.
"Kikozi ghari kuliko vyote. Kinagharimu 1.3b,kimeweka kambi ya gharama ya juu Zanzibar, Kilipanda mwewe kutoka Zanzibar,tumekiweka 5* Hotel. Hakuna sababu ya kufungwa na Yanga. Tokea niwepo Simba miaka minne haijawahi kutokea kuwa na kikosi kizuri kama cha mwaka huu" haya maneno mengine ya Manara. Mda mwingine ni bora kuweka akiba ya maneno. Makofia kapiga % niye mnatamba kikosi ghari. Ndiyo maana wachezari hawajitumi.
 
Makofia alitaka kumlalia Ajibu ampige cha juu. Dogo kastuka,nasikia hizo 120m wala ajachukua zote Niyo. Makofia kala 40 Niyo kala 80 ndiyo maana akazi kihivyo kwani anajua mshiko hajala pekeyake. Hivyo anaye mtetezi. Hata mfanye nini atapangwa tu first 11 ya Wa mchangani.
Ndy zao hizo hao viongozi kula 10%
 
Watu mna maneno.
"Kikozi ghari kuliko vyote. Kinagharimu 1.3b,kimeweka kambi ya gharama ya juu Zanzibar, Kilipanda mwewe kutoka Zanzibar,tumekiweka 5* Hotel. Hakuna sababu ya kufungwa na Yanga. Tokea niwepo Simba miaka minne haijawahi kutokea kuwa na kikosi kizuri kama cha mwaka huu" haya maneno mengine ya Manara. Mda mwingine ni bora kuweka akiba ya maneno. Makofia kapiga % niye mnatamba kikosi ghari. Ndiyo maana wachezari hawajitumi.

Kwani Manara kaongea uongo?
 
Simba hawakuwa na shida ya kusajili kiungo msimu huu! Walikuwa na viungo bora kabisa kama Mo Ibrahim, Mzamiru, Ndemla! Mkude, Majavi, Kotei n.k! Sijui kwanini waliamua kutumia hela nyingi kumsajili Haruna ambaye hana alichowazidi hao niliowataja!
UMESEMA KWELI..
Ila haruna atatusaidia kimataifa
 
Simba hawakucheza vzr sana...
Ila yanga waliocheza vzr waliambulia droo..
Na usitake haruna acheze unavyotaka ww...kama anaboronga kocha angekuwa anampumzisha..pia tuna mtaji mkubwa tu viungo hivyo hatumtegemei nionzima tu kama nyie mnavyomtegemea ajibu
 
Yanga bwana Mbona iliwauma mpk mkachma jezi yake. Poleni sana yanga mmezoea kuchukua wachezaji wa simba kila mwaka mkichukuliwa WA kwenu povu tu. Wanayanga Acheni chuki kuweni wastarabu kumbekeni mpira ni kazi leo mchezaji atakuwa yanga kesho mtibwa au simba. Ndio mana WAchezaji wengi wanazeekea yanga humpendi kuwaruhusu ht kutoka nje. Kwa msuya mliona aibu kdg. Yanga kuweni wastarabu au kwa kuwa mashabiki wengi WA tanga ni wamakonde na wayao washamba WA kusini?
 
You are right, Niyonzima hakuhitajika simba, nambq yake wanaimudu vizuri tu kina Mzamiru, Ndemla na Mkude
 
Habarini!
Mimi ni mshabiki wa Simba Sports Club, ningependa kwemda moja kwa moja kwenye mada kuwa uongozi wa Simba kwa kweli walikurupuka kumsajili Niyonzima. Mpaka sasa kwa kweli sijaona mpira wowote akicheza kuisaidia Simba. Wanamuita pass master ila pasi zake ni sideways zaidi ya forwards.
Ni ukweli usiopingika kuwa Niyonzima alisajiliwa kwa shinikizo la kuvutia tu mashabiki wa Simba kuwa wanachukua mchezaji wa Yanga ambaye kwa misimu kadhaa alikuwa mchezaji wao bora.
Kibaya zaidi kinaniumiza ni Niyonzima (mrwanda) kaja waharibia namba za kudumu watanzania (Ndemla na Mzamiru) ambao kwa kweli walikuwa wanaanza kuchipuka!
Mzamiru na Ndemla wa Simba ni wazuri mara nne ya Niyonzima wa Simba.
Inasikitisha sana, nimekuwa nampa muda ila kwa kweli haoneshi kiwango kipya chochote, pia hakuhitajika Simba maana nafasi zake zilikiwa zina watu tayari wanazitendea haki.
Matokeo ya leo nimeyapokea kwa moyo mkunjufu, kama ni kuweka mkeka kwa kweli niliiona droo ni wiki sasa!
Umeeleza vizuri mkuu kwa kuweka unazi kando.
 
Mi sioni ubora wa Niyonzima kabisa.
Mpira wake ni wa udambwi udambwi ambao hauna madhara kwa adui.
Anapiga krosi kuubwa ambazo zina vuka goli.
Haipandishi timu mbele bali mara nyingi pasi zake hurudisha nyuma.
Washabiki wa Yanga walikiri kuwa uchezaji wake uliwanufaisha Yanga.
Mi naona Mkude na ndemla wana manufaa kuliko Niyonzima.
 
Yanga bwana Mbona iliwauma mpk mkachma jezi yake. Poleni sana yanga mmezoea kuchukua wachezaji wa simba kila mwaka mkichukuliwa WA kwenu povu tu. Wanayanga Acheni chuki kuweni wastarabu kumbekeni mpira ni kazi leo mchezaji atakuwa yanga kesho mtibwa au simba. Ndio mana WAchezaji wengi wanazeekea yanga humpendi kuwaruhusu ht kutoka nje. Kwa msuya mliona aibu kdg. Yanga kuweni wastarabu au kwa kuwa mashabiki wengi WA tanga ni wamakonde na wayao washamba WA kusini?
Unapaswa kutofautisha baina ya Yanga na shabiki wa Yanga. Aliyechoma jezi ni shabiki, si Yanga. Na inawezekana Yanga walitaharuki kwa Niyonzima kwenda Simba, lakini hatimaye mashabiki wanaishukuru sana Simba. Maana imewasababishia kuwa na Niyonzima watatu kupitia Tshitshimbi mmoja.
 
Back
Top Bottom