Baada ya Kuangukia pua kwa Ester Kahumbi wa BBC,Naombeni Connection ya Black Beauty wa Nigeria anaitwa SIMI

Na hapo kwa Simi lazima uangukie pua na uburuzike kinoma. Nenda buza huko katafute mtoto mmoja mvalishe apendeze, mpige pesa anakuwa poa sana kuliko hata Ester na huyo Simi.
 
Endelea na sisi akina Mwajuma ndala ndefu tu mkuu, unahisi huko Nigeria kote hajaona mtu aje akuone wewe huku kwa Mtogole saa ngapi?[emoji23][emoji23]
Wewe ni binti maringo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Adekunle Gold atakuua wewe, ni mwanamziki mwezie wanamtoto anaitwa Deja wa kike, mimi hua namfuatilia napenda nyimbo zake kama Ayo na Aimasiko
 
Endelea kuunga mkono Juhudi za mama Madem wakali utazidi kuwaonea Channel ten au wasafi TV.


Simi Mme wake ni Adekunle Gold jiandae kufukunyuliwa Utumbo mpana
 
Na hapo kwa Simi lazima uangukie pua na uburuzike kinoma. Nenda buza huko katafute mtoto mmoja mvalishe apendeze, mpige pesa anakuwa poa sana kuliko hata Ester na huyo Simi.
Umenena,ni pesa zinazotufanya tusing'ae
 
Achana nae huyo, humu humu JF mbona kuna pisi kali kibao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…