Baada ya kuanza kuishi na mwanamke ghetto nimeanza kupendwa na wanawake wengine

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,731
Nimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala

Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto

Cha ajabu kwa sasa nashangaa ndo naanza kupendwa na mademu wengine tena ndo wananitongoza
Mi nawakataa maana tayari nina demu ghetto naishi nae

Naona hawa wanawake wanataka kunilaghai niachane na huyu manzi wangu halafu wanirudishe kule kule kwenye kupiga mgalala.

Nifanyaje wakuu??
 
Make sure unalijaza hisia tank lake la Upendo, ili kuimarisha mahusiano yenu mkuu
 
Nimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala

Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto

Cha ajabu kwa sasa nashangaa ndo naanza kupendwa na mademu wengine tena ndo wananitongoza
Mi nawakataa maana tayari nina demu ghetto naishi nae

Naona hawa wanawake wanataka kunilaghai niachane na huyu manzi wangu halafu wanirudishe kule kule kwenye kupiga mgalala.

Nifanyaje wakuu??
Dah! Jirani ndio umeamua kuja kunisema huku😉😉😉
 
Back
Top Bottom