Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,731
Posa bado ndo nipo kwenye mchakatoAngalia asije akakufia gheto bro. kwanza ushapeleka posa
Nakazia.Kitendo Cha kuishi na mwanamke wewe ni mwanaume kamili unayefaa kwa matumizi ya binadamu...
KumbeNakazia.
Ndo maana ake.Kumbe
Mwache na huyom
Naona hawa wanawake wanataka kunilaghai niachane na huyu manzi wangu halafu wanirudishe kule kule kwenye kupiga mgalala.
Nifanyaje wakuu??
Make sure unalijaza hisia tank lake la Upendo, ili kuimarisha mahusiano yenu mkuuNimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala
Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto
Cha ajabu kwa sasa nashangaa ndo naanza kupendwa na mademu wengine tena ndo wananitongoza
Mi nawakataa maana tayari nina demu ghetto naishi nae
Naona hawa wanawake wanataka kunilaghai niachane na huyu manzi wangu halafu wanirudishe kule kule kwenye kupiga mgalala.
Nifanyaje wakuu??
Dah! Jirani ndio umeamua kuja kunisema hukuπππNimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala