Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Mar 26, 2025 #21 Mpaji Mungu said: Hiyo ni kawaida ukiwa na demu ndo unapata mademu ukiwa single hupati pati kizembe Click to expand... Hivi ni kwanini mkuu sijui kuna uhusiano gani, nikiwa na mahusiano yanayoeleweka hadi kutafutwa natafutwa na pisi zenyewe.
Mpaji Mungu said: Hiyo ni kawaida ukiwa na demu ndo unapata mademu ukiwa single hupati pati kizembe Click to expand... Hivi ni kwanini mkuu sijui kuna uhusiano gani, nikiwa na mahusiano yanayoeleweka hadi kutafutwa natafutwa na pisi zenyewe.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 Mar 27, 2025 #22 Half american said: Hivi ni kwanini mkuu sijui kuna uhusiano gani, nikiwa na mahusiano yanayoeleweka hadi kutafutwa natafutwa na pisi zenyewe. Click to expand... Sijuagi shida hua ni nini ila uzoefu wangu ndo huo
Half american said: Hivi ni kwanini mkuu sijui kuna uhusiano gani, nikiwa na mahusiano yanayoeleweka hadi kutafutwa natafutwa na pisi zenyewe. Click to expand... Sijuagi shida hua ni nini ila uzoefu wangu ndo huo