Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana


Mkuu, kwenye msiba hakuna haraka au kuchelewa. Hata sasa mbona anaweza kwenda aliwaona tu?
 
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…