Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100.

Ngoja tuone ukweli ni upi.
 
Ukikaribia mafanikio mara zote huwa zinaibuka vikwazo kibao!! Mara fine za ardhi, mara fcc, mara kishingo.

Ila tukitoka salama hapo tunatoboa. Wote washasikia tuna pesa za champions league
 
😆😆😆
 
Kuna B mbili hatua ya robo alafu kuna B tatu na ushehe hatau ya nusu,hizi zote ni uhakika.Kishingo afanye hesabu vizuri angalau madai yake yafikie milioni miambili hivi asaidiwe maisha.
imeshitakiwa Simba siyo MO .
 
Ukikaribia mafanikio mara zote huwa zinaibuka vikwazo kibao!! Mara fine za ardhi, mara fcc, mara kishingo.
Ila tukitoka salama hapo tunatoboa. Wote washasikia tuna pesa za champions league
Ni kweli kabisa asee. Yanga wananuka madeni ya kufa mtu ila hautasikia wakibughudhiwa maana kwa sasa hawana kitu
 
Kuna B mbili hatua ya robo alafu kuna B tatu na ushehe hatau ya nusu,hizi zote ni uhakika.Kishingo afanye hesabu vizuri angalau madai yake yafikie milioni miambili hivi asaidiwe maisha.
Huwa hazitolewi hivyo. Aliyetoka hatua ya makundi atapata zake,anayeendelea zake atazikuta mbele atakapoishia zikiwa zimeongezeka mf hatua ya robo ni Bil 2 kwa aliyeishia hapo anayeendelea hapewi akifika nusu akitolewa ndo atapata Bil 3. Ndo ipo hivyo
 
Halafu si aliondoka mwenyewe huyu baada ya kupata timu nafikiri Morocco,kumbe hawakumalizana vizuri?
Tatizo aliondoka baada ya kufanya mazungumzo na Mohammed na ceo wa Simba halafu taarifa ikatolewa, ile bodi ya Simba ni kama kivuli. Simba inatakiwa imbane kwa kudanganya kumbe alishapata timu.
 
Back
Top Bottom