steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Si ndio hapo,mi nilidhani alifuata maslahi huko Morocco,si ajabu anajuta kusepa kwani hakutegemea kama timu ingefika hapa kwenye klabu bingwa Afrika na sasa hv ipo pazuri pia VPLTatizo aliondoka baada ya kufanya mazungumzo na Mohammed na ceo wa Simba halafu taarifa ikatolewa, ile bodi ya Simba ni kama kivuli. Simba inatakiwa imbane kwa kudanganya kumbe alishapata timu.