Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆Ukikaribia mafanikio mara zote huwa zinaibuka vikwazo kibao!! Mara fine za ardhi, mara fcc, mara kishingo.
Ila tukitoka salama hapo tunatoboa. Wote washasikia tuna pesa za champions league
imeshitakiwa Simba siyo MO .Kuna B mbili hatua ya robo alafu kuna B tatu na ushehe hatau ya nusu,hizi zote ni uhakika.Kishingo afanye hesabu vizuri angalau madai yake yafikie milioni miambili hivi asaidiwe maisha.
Ni kweli kabisa asee. Yanga wananuka madeni ya kufa mtu ila hautasikia wakibughudhiwa maana kwa sasa hawana kituUkikaribia mafanikio mara zote huwa zinaibuka vikwazo kibao!! Mara fine za ardhi, mara fcc, mara kishingo.
Ila tukitoka salama hapo tunatoboa. Wote washasikia tuna pesa za champions league
Mwamedi iko mutu miji, julumaji, chori kapetooooooHii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni , kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100.
Ngoja tuone ukweli ni upi .
Simba walitulaghaiHalafu si aliondoka mwenyewe huyu baada ya kupata timu nafikiri Morocco,kumbe hawakumalizana vizuri?
Avunje mkataba mwenyewe halafu sisi tumlipe km anatutaka sana arudiHii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni , kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100.
Ngoja tuone ukweli ni upi .
Huwa hazitolewi hivyo. Aliyetoka hatua ya makundi atapata zake,anayeendelea zake atazikuta mbele atakapoishia zikiwa zimeongezeka mf hatua ya robo ni Bil 2 kwa aliyeishia hapo anayeendelea hapewi akifika nusu akitolewa ndo atapata Bil 3. Ndo ipo hivyoKuna B mbili hatua ya robo alafu kuna B tatu na ushehe hatau ya nusu,hizi zote ni uhakika.Kishingo afanye hesabu vizuri angalau madai yake yafikie milioni miambili hivi asaidiwe maisha.

Akirudi anafundisha Simba bAvunje mkataba mwenyewe halafu sisi tumlipe km anatutaka sana arudi
Tatizo aliondoka baada ya kufanya mazungumzo na Mohammed na ceo wa Simba halafu taarifa ikatolewa, ile bodi ya Simba ni kama kivuli. Simba inatakiwa imbane kwa kudanganya kumbe alishapata timu.Halafu si aliondoka mwenyewe huyu baada ya kupata timu nafikiri Morocco,kumbe hawakumalizana vizuri?
Yanga imeingiaje tena, Mbumbumbu aisee huwa hamjiwezi bila Kujifananisha na YangaNi kweli kabisa asee. Yanga wananuka madeni ya kufa mtu ila hautasikia wakibughudhiwa maana kwa sasa hawana kitu
Yanga mna wakati mgumu sanaYanga imeingiaje tena, Mbumbumbu aisee huwa hamjiwezi bila Kujifananisha na Yanga
Sishangai! Yanga ndio SI unit kwa mafanikio ya SimbaYanga mna wakati mgumu sana
teh teh tehSishangai! Yanga ndio SI unit kwa mafanikio ya Simba