Si ndio hapo,mi nilidhani alifuata maslahi huko Morocco,si ajabu anajuta kusepa kwani hakutegemea kama timu ingefika hapa kwenye klabu bingwa Afrika na sasa hv ipo pazuri pia VPLTatizo aliondoka baada ya kufanya mazungumzo na Mohammed na ceo wa Simba halafu taarifa ikatolewa, ile bodi ya Simba ni kama kivuli. Simba inatakiwa imbane kwa kudanganya kumbe alishapata timu.
Anaona donge afrika yote wanaizungumzia Simba na Da RoseSi ndio hapo,mi nilidhani alifuata maslahi huko Morocco,si ajabu anajuta kusepa kwani hakutegemea kama timu ingefika hapa kwenye klabu bingwa Afrika na sasa hv ipo pazuri pia VPL
Boya yuleAnaona donge afrika yote wanaizungumzia Simba na Da Rose
Sawa dada mvaa vjora na midela a.k.a masikini/fukaraMwamedi iko mutu miji, julumaji, chori kapetoooooo
Na itakazopewa hizo B ni Simba sio Mo, labda ulikuwa hujuiimeshitakiwa Simba siyo MO .
Pesa za mo hizo dogoKuna B mbili hatua ya robo alafu kuna B tatu na ushehe hatau ya nusu, hizi zote ni uhakika.Kishingo afanye hesabu vizuri angalau madai yake yafikie milioni miambili hivi asaidiwe maisha.
Simba haina hata akaunti benki , sijui kama hili unalijuaNa itakazopewa hizo B ni Simba sio Mo, labda ulikuwa hujui
utopolo kweli yan wewe, simba haina bank account pesa za uanachama huwa tunalipa kwa posta auSimba haina hata akaunti benki , sijui kama hili unalijua
Ww hiyo pesa Kama mwanachama mara mwisho umechanga lini?utopolo kweli yan wewe, simba haina bank account pesa za uanachama huwa tunalipa kwa posta au
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kudandia mada usiyoelewa ,,mwenzako kasema simba haina Bank account ndio nikamjibu,,nawewe ujue simba haipokei pesa kutoka caf peke ake chaudere wewe na hakuna unalojua kuhusu biashara ya mpira kaa kimyaWw hiyo pesa Kama mwanachama mara mwisho umechanga lini?
Pesa ndefu zote.kutoka caf zimaingia kwa MO ww endelea kupiga vuvuzela maamuma
Ni za GSM anamiliki na jezi za timu ni mali yake.Pesa za mo hizo dogo
B kubwa sana kwa uwezo wake labda Simba CAkirudi anafundisha Simba b
Utopolo mbona mnateseka sana.imeshitakiwa Simba siyo MO .
Kama CCM vileMwamedi iko mutu miji, julumaji, chori kapetoooooo
Azam ana point 50, sijui kama hili unajuaSimba haina hata akaunti benki , sijui kama hili unalijua
Arudi afundishe simba C.Avunje mkataba mwenyewe halafu sisi tumlipe km anatutaka sana arudi