pastor wa JF
Member
- Jan 17, 2018
- 34
- 33
Nakazia[emoji23] sema nimeirudia kuitamka hiyo mkaka nikajikuta nachekaUandishi wako.... Eti Ana date na mkaka!! Seriously? Hizi ni lugha za Kike, dume kumuita dume jenzio mkaka Aaaghh Inatia wasiwasi
Karma ndo nn mkuuKuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kuni fck, nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau
Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itaku fu.ck
Vijana wetu si Vijana tena.... Inasikitisha saanaNakazia[emoji23] sema nimeirudia kuitamka hiyo mkaka nikajikuta nacheka
Hii story umejitahidi kutunga hongera sana,Mungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.
Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.
Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Ndo walewale watoto wa kike kasoro matitUandishi wako.... Eti Ana date na mkaka!! Seriously? Hizi ni lugha za Kike, dume kumuita dume jenzio mkaka Aaaghh Inatia wasiwasi
Linaitwaje