Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Ulimpa zawadi gani
 
Aisee!
 
Kweli
 
Jiandae kukabiliana na taabu katika mahusiano, hutakaa ku settle mpaka umuombe radhi huyo dada na akunjue moyo wake akusamehe vinginevyo utakuwa bachela milele haki nakuapia.
Mmh!,kuna ukweli kwenye hilo?
 
Wote mnaonitisha na iyo kitu karma mnataka nifanye maamuzi out of fear!!!
I'm sorry for that guys ...
Nisaidieni how to go about it.... So that I can overcome my situation.. Without hurting this chick
 
Itakuwa umeabukizwa ukimwi ndo dalili yke ya kwanza iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…