Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Kuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kuni fck, nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau

Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itaku fu.ck
Ulimpa zawadi gani
 
Aisee!
 
Kweli
 
Jiandae kukabiliana na taabu katika mahusiano, hutakaa ku settle mpaka umuombe radhi huyo dada na akunjue moyo wake akusamehe vinginevyo utakuwa bachela milele haki nakuapia.
Mmh!,kuna ukweli kwenye hilo?
 
Wote mnaonitisha na iyo kitu karma mnataka nifanye maamuzi out of fear!!!
I'm sorry for that guys ...
Nisaidieni how to go about it.... So that I can overcome my situation.. Without hurting this chick
 
Itakuwa umeabukizwa ukimwi ndo dalili yke ya kwanza iyo
 
Back
Top Bottom