ili jambo naliona kabisa linaenda kunitokea mie huku maana napendwa ila mie sipendi natia tu kupunguza nyegeKuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kunifuata nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau
Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itakufuata
Mwaka 2014 Nilimfungulia duka la jumla la vinywaji baridi na vikali, sasa hivi naona anapost Inst kanunua harria luxusZawadi iliyo mbadilisha maisha zawadi gani iyo
Duuh mwanangu Wew kuhonga Fundi aisee...!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Mwaka 2014 Nilimfungulia duka la jumla la vinywaji baridi na vikali, sasa hivi naona anapost Inst kanunua harria luxus
Kama sio Chai bhasi sijui ka kuna mwanaume ka wew... Nihongee ex wangu kisaa nlimlaa nkamuachaa!?? Akati dyudyu anaendelea kuchezeshewa na wengne daily no way...Mwaka 2014 Nilimfungulia duka la jumla la vinywaji baridi na vikali, sasa hivi naona anapost Inst kanunua harria luxus
Karma is a bitchKuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kunifuata nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau
Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itakufuata
Kipindi hicho hela ilikuwa ipo tofauti na sasa hivi.. siku nikiishiwa sina kitu nampelekea matatizo yanguKama sio Chai bhasi sijui ka kuna mwanaume ka wew... Nihongee ex wangu kisaa nlimlaa nkamuachaa!?? Akati dyudyu anaendelea kuchezeshewa na wengne daily no way...
Ulitumiwa na mapepo kuharibu uhusiano wao bila wewe kujitambua
Shida mademu ..mnamfukuzia wee hadi feelings kutoka kwako kwenda kwake, zinapungua ndio anakubali muende sawa mwisho wa siku ndio yanakuwa yale yale chombo ya matumizi
Note usimwache endelea nae ivyo ivyo adi siku atokee mtu akushinde mbinu amchukue
😀😀😀😀😀😀Wewe me au ke?kama ni me mwanaume mwenzio unamuaitaje mkaka fulani.
hakika!!Karma is a bitch
inawezekana...Na yeye si alimpiga chini mtu kwa ajili yako so hapa tunaweza kusema what goes around comes around
Nipe namba mkuuuKipindi hicho hela ilikuwa ipo tofauti na sasa hivi.. siku nikiishiwa sina kitu nampelekea matatizo yangu
Nikuunganishe nae nn, demu mwenyewe kidogo tu, kinacho mbeba ana akili za maisha