Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

mademu wasumbufu hiyo ndo dawa yao...unamega unasepa, enzi za ujana wangu dem akinisumbua na kunidharau, nilikuwa siwezi mwacha hata baada ya miaka atakuja kuliwa tu then namdump
 
Kuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kunifuata nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau

Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itakufuata
ili jambo naliona kabisa linaenda kunitokea mie huku maana napendwa ila mie sipendi natia tu kupunguza nyege
 
Hapo inabidi utubu kwa kosa LA kuvunja uchumba then punguza mihemko utapotezwa kwa kuingilia mahusiano ya watu
 
Mwaka 2014 Nilimfungulia duka la jumla la vinywaji baridi na vikali, sasa hivi naona anapost Inst kanunua harria luxus
Duuh mwanangu Wew kuhonga Fundi aisee...!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mwaka 2014 Nilimfungulia duka la jumla la vinywaji baridi na vikali, sasa hivi naona anapost Inst kanunua harria luxus
Kama sio Chai bhasi sijui ka kuna mwanaume ka wew... Nihongee ex wangu kisaa nlimlaa nkamuachaa!?? Akati dyudyu anaendelea kuchezeshewa na wengne daily no way...
 
Kuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kunifuata nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau

Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itakufuata
Karma is a bitch
 
Kama sio Chai bhasi sijui ka kuna mwanaume ka wew... Nihongee ex wangu kisaa nlimlaa nkamuachaa!?? Akati dyudyu anaendelea kuchezeshewa na wengne daily no way...
Kipindi hicho hela ilikuwa ipo tofauti na sasa hivi.. siku nikiishiwa sina kitu nampelekea matatizo yangu

Nikuunganishe nae nn, demu mwenyewe kidogo tu, kinacho mbeba ana akili za maisha
 
Ulitumiwa na mapepo kuharibu uhusiano wao bila wewe kujitambua
Shida mademu ..mnamfukuzia wee hadi feelings kutoka kwako kwenda kwake, zinapungua ndio anakubali muende sawa mwisho wa siku ndio yanakuwa yale yale chombo ya matumizi
Note usimwache endelea nae ivyo ivyo adi siku atokee mtu akushinde mbinu amchukue
Wewe me au ke?kama ni me mwanaume mwenzio unamuaitaje mkaka fulani.
😀😀😀😀😀😀
Karma is a bitch
hakika!!
 
Kipindi hicho hela ilikuwa ipo tofauti na sasa hivi.. siku nikiishiwa sina kitu nampelekea matatizo yangu

Nikuunganishe nae nn, demu mwenyewe kidogo tu, kinacho mbeba ana akili za maisha
Nipe namba mkuuu
 
Ana date na mkaka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ktk umri wangu WA ujana Sana nilikuwa na katabia hako,nyege zikinipanda nafukuzia binti kwa maneno matamu na mahaba ya Hali ya juu nikishapiga namuona mbaya nammwaga kikatiri had anashangaa,nililiza Sana watoto WA watu ila yalikuja nikuta niliokuwa natafuta WA kuoa sipati naishia kutendwa pia nikajua ni malipizi ya Yale niliyofanya,nilimtafuta binti niiyemtenda vibaya akalia Sana nikamuomba msamaha mpaka akanisamehe kwa roho nyeupe ndipo nilipokuja kupata mtu Safi na sahihi nikaoa.so becareful what goes around comes around
 
Karma ni physiology issues tu mfano unaenda date na gg money then yanakukuta unasingizia karma ya ex wako uliyemdump secondary
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii laana haitakuacha mkuu kumtoa kwa mchumba ake halafu sasa hivi unamuona she's not your type
 
Back
Top Bottom