Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Mnaomsimanga huyu mleta uzi ina maana hamjawah kuacha watau kwenye mahusiano yenu?Mlioanza nao ndo mlifunga ndoa nao au ndio mnao?Kweli?
 
Karma ni physiology issues tu mfano unaenda date na gg money then yanakukuta unasingizia karma ya ex wako uliyemdump secondary
Hapa naona watu wanajaribu kurelate ila havina uhusiano kabisa
 

Ni kawaida tu ...... sema usimuache ghafla ghafla mlie timing kidogo au mtafutie visaa ,atasepa mwenyewe
 
Mdada atakuwa hakumpenda Mume mtarajiwa, ndio maana katoka kwenye Reli haraka....
Na Amecheza bahat nasibu au pata potea na amepata negative side...

Mdada bado anaweza kurud kwa huyo mume mtarajiwa, mwambie tu mapema, ili ajue ww hauko kwake tena.

Hakuna wa kulaumiwa hapa..THIS IS WHAT MAKES LIFE INTERESTING.

Move on brother..
 
Reactions: Cyb

🤣🤣🤣🤣
 
Kwa upande wa pili amemuokoa mume mtarajiwa maana angechukua bomu ambalo lingemlipukia.
Ila mapenzi ni mapichapicha na ingekuwa ni somo ningeliepuka. Tatizo mwili na moyo
 
🤣🤣🤣🤣
Usinicheke dada sikitika pamoja nami. Miye nalia usiku na mchana. Wajukuu zangu wamekuwa wehu kabisa. Shuleni juzi naitwa kwenda kushuhudia ukuta mtoto aliruka. 8' urefu halafu bila hata ngazi wala kamba. Nilipoona ghafla nikajua kuwa; Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Don't fake love kama humpendi usimuonee huruma muonesha upendo kwa kumuacha ili aishi bila manyanyaso ya mapenzi
 
Coz ulimtamani tu ndio maana umemuona mbaya
 
Kuna wapuuzi humu Wana sema sijui vitu gani mara wa mponde mtoa mada.

Sasa najiuliza mdada kamuacha mwanaume ambaye Ana malengo nae ya mda mrefu kamfuata jamaa,jamaa kamtafuna lakini mlivyo na vichwa vibovu mnamsimang'a jamaa...msichojua Ni kwamba hiyo sijui ndo karma itamtavuna huyo dada kwanza kabla ya kufika kwa jamaa
 
Nenda zako na wewe,umuache mwanaume mwenye malengo na wewe upeleke kakuma chako kwa mhuni unatka Nini Kama sio kutombwa* na kuachwa?????

Mwanamke mwenzenu anafanya ujinga halafu mnamponda jamaa!kama huyo mwanamke angekuwa na akili SI angetulia na mwanaume mwenye plan nae [emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwanamke anasikitisha sana kwa kutema Big-G kisa karanga za kuonjeshwa...

Nawe unasikitisha kwa kuvunja mambo ya watu alafu unajifanya hana mvuto tena...

Usipofanikiwa maishani mwako utasema umelogwa?


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…