Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Mnaomsimanga huyu mleta uzi ina maana hamjawah kuacha watau kwenye mahusiano yenu?Mlioanza nao ndo mlifunga ndoa nao au ndio mnao?Kweli?
 
Karma ni physiology issues tu mfano unaenda date na gg money then yanakukuta unasingizia karma ya ex wako uliyemdump secondary
Hapa naona watu wanajaribu kurelate ila havina uhusiano kabisa
 
Mungu nisamehe bure!!

Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.

Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.

Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.

Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?

Ni kawaida tu ...... sema usimuache ghafla ghafla mlie timing kidogo au mtafutie visaa ,atasepa mwenyewe
 
Mdada atakuwa hakumpenda Mume mtarajiwa, ndio maana katoka kwenye Reli haraka....
Na Amecheza bahat nasibu au pata potea na amepata negative side...

Mdada bado anaweza kurud kwa huyo mume mtarajiwa, mwambie tu mapema, ili ajue ww hauko kwake tena.

Hakuna wa kulaumiwa hapa..THIS IS WHAT MAKES LIFE INTERESTING.

Move on brother..
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Linaitwa "gundu". Halikutoki hata ukioshwa na magadi. Utalipwa tu. Kumbuka, si ajabu leo angekuwa anaitwa Mrs au ameshakaribia. Ukamrubuni, ukamwachisha safari yake kabla ya kituo ambacho kilikuwa kariiib kufikia. Leo umemwagia uchafu wako unataka kum- dump like a leftover. Hilo pepo halitakuacha salama.
Nimekuwa na uzoefu. Nilikuwa nafukuzia sana vitoto vya watu vya shue. Sikujua wazazi wao walivyokuwa wanaumia. Sasa, nalipa kwa uchungu. Mara nasikia ; Jana aliruka ukuta wa 8'. Msichana!! Usiogope. Utalipa tu.

🤣🤣🤣🤣
 
Mdada atakuwa hakumpenda Mume mtarajiwa, ndio maana katoka kwenye Reli haraka....
Na Amecheza bahat nasibu au pata potea na amepata negative side...

Mdada bado anaweza kurud kwa huyo mume mtarajiwa, mwambie tu mapema, ili ajue ww hauko kwake tena.

Hakuna wa kulaumiwa hapa..THIS IS WHAT MAKES LIFE INTERESTING.

Move on brother..
Kwa upande wa pili amemuokoa mume mtarajiwa maana angechukua bomu ambalo lingemlipukia.
Ila mapenzi ni mapichapicha na ingekuwa ni somo ningeliepuka. Tatizo mwili na moyo
 
🤣🤣🤣🤣
Usinicheke dada sikitika pamoja nami. Miye nalia usiku na mchana. Wajukuu zangu wamekuwa wehu kabisa. Shuleni juzi naitwa kwenda kushuhudia ukuta mtoto aliruka. 8' urefu halafu bila hata ngazi wala kamba. Nilipoona ghafla nikajua kuwa; Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mungu nisamehe bure!!

Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.

Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.

Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.

Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Don't fake love kama humpendi usimuonee huruma muonesha upendo kwa kumuacha ili aishi bila manyanyaso ya mapenzi
 
Kuna wapuuzi humu Wana sema sijui vitu gani mara wa mponde mtoa mada.

Sasa najiuliza mdada kamuacha mwanaume ambaye Ana malengo nae ya mda mrefu kamfuata jamaa,jamaa kamtafuna lakini mlivyo na vichwa vibovu mnamsimang'a jamaa...msichojua Ni kwamba hiyo sijui ndo karma itamtavuna huyo dada kwanza kabla ya kufika kwa jamaa
 
Dopplar 2 shame on you ulijua mwanzoni humtaki now umekula ulichokula humtakii jamani your pepo.
Watu kama nyie nikuoa wanawake waliovutaga bangi siku nyingi?
Mf.wale wadada ambao hawana aibu.
Ukimlala tu anasema kijiji kizima dah basi leo nimeenda kwa doppler2 anakibamia huyo halafu hajui hata romance yeye anakung'ata ng'ata tu.
Dah najuta kumuacha mchumba wangu couse siwezi ng'atwa till death.
Asilimia ya wadada wenye kujitambua wao wanajua sampuli za wanaume kama nyie you take a roll of a person who loves a woman and then you sleep with her and dump here .
We know your type and you will never ever have a piece of your mind.
Because of that i guarantee for sure.
For sure we have learn different types of it and then we ignore these characters of men.
You see your like satan no fear or what you just came here and write a post .
Shame on u
Nenda zako na wewe,umuache mwanaume mwenye malengo na wewe upeleke kakuma chako kwa mhuni unatka Nini Kama sio kutombwa* na kuachwa?????

Mwanamke mwenzenu anafanya ujinga halafu mnamponda jamaa!kama huyo mwanamke angekuwa na akili SI angetulia na mwanaume mwenye plan nae [emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwanamke anasikitisha sana kwa kutema Big-G kisa karanga za kuonjeshwa...

Nawe unasikitisha kwa kuvunja mambo ya watu alafu unajifanya hana mvuto tena...

Usipofanikiwa maishani mwako utasema umelogwa?

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom