Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 249
Usinicheke dada sikitika pamoja nami. Miye nalia usiku na mchana. Wajukuu zangu wamekuwa wehu kabisa. Shuleni juzi naitwa kwenda kushuhudia ukuta mtoto aliruka. 8' urefu halafu bila hata ngazi wala kamba. Nilipoona ghafla nikajua kuwa; Malipo ni hapa hapa duniani.
Wajua maana ya toba?? Vile videnti nitavipata wapi leo?? Ka ingelikuwa raisi ningeliweka hata picha kila gazeti na tv kuwaomba wote niliowatenda msamaha. Lakini leo, nitawapataje niwaombe msamaha?? Ila, nimeapa, na hata watoto wangu nimewaonya; Wafanye yote ila dent wamuone ka kituo cha polisi. Hata kangelikuwa kazuri ka nini, kaache kasomePole sana ila ni kuomba toba sasa na kufuta hiyo laana isiendelee kuwatafuna.
Kawaida sanaMungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.
Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.
Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Msiikaribie zinaa, zinaa ni uchafu.Mungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.
Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.
Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Mwambie ukweli ataelewa na atakuheshimu hata wao inawatokea.Mungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.
Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.
Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Hujawahi kufanya ngono kabla ya ndoa?uzinzi ni uchafu, msiukaribie.
Sijawahi.Hujawahi kufanya ngono kabla ya ndoa?