Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Ukitubu na kuomba msamaha haya yanaondoka, mtu mmoja hawezi kushikilia destiny ya maisha yako. MUNGU PEKEE
 
Usinicheke dada sikitika pamoja nami. Miye nalia usiku na mchana. Wajukuu zangu wamekuwa wehu kabisa. Shuleni juzi naitwa kwenda kushuhudia ukuta mtoto aliruka. 8' urefu halafu bila hata ngazi wala kamba. Nilipoona ghafla nikajua kuwa; Malipo ni hapa hapa duniani.

Pole sana ila ni kuomba toba sasa na kufuta hiyo laana isiendelee kuwatafuna.
 
Pole sana ila ni kuomba toba sasa na kufuta hiyo laana isiendelee kuwatafuna.
Wajua maana ya toba?? Vile videnti nitavipata wapi leo?? Ka ingelikuwa raisi ningeliweka hata picha kila gazeti na tv kuwaomba wote niliowatenda msamaha. Lakini leo, nitawapataje niwaombe msamaha?? Ila, nimeapa, na hata watoto wangu nimewaonya; Wafanye yote ila dent wamuone ka kituo cha polisi. Hata kangelikuwa kazuri ka nini, kaache kasome
 
Mungu nisamehe bure!!

Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.

Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.

Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.

Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Kawaida sana
 
Msiikaribie zinaa, zinaa ni uchafu.
 
Mwambie ukweli ataelewa na atakuheshimu hata wao inawatokea.
 
Wasikutishe bro. Ingelikuwa kila mtu yupo vizuri,watu wasingekuwa wanaachana. Sasa we sema nilijua ana mto,amebeba beseni,au vingine. Ukikuta hana? Utahangaika nae? Ukute alikuja amevalia makalio ya bandia. Sasa alipovua,hana mvuto. Kosa lako nini?
 
sijawahi kuamin hiyo kitu mnayoita karma,
kwanza naamini dunia haina huruma na mtu yyt,labda kama hujapitia misoto ya maisha

mfano huyo binti pia unaweza kuta kuna jamaa alikuw anampenda sana akataka kuweka nia binti akamfungia kioo akawa na mwngne ambapo mtoa mada na yy ameingia kuweka tuta ,bwana harus mtarajiwa nae kuna wadada kawakataa huko wanalia,

yaan leo mambo yangu yagome nianze kuwaza et inawezekana kuna watu huko nyuma niliwakosea,nooooo

au niachwe af nijipe moyo et ipo siku atanikumbuka??

acheni kudanganyana,kwanza kwann huyo mwanamke amkubalie ilhal anajua soon anakuw mke wa mtu

la mwisho mtoa mada amemuepusha jamaa kuoa malaya
 
sioni kosa na yeye alikuwa na tamaa sanakama aliuweza kumuacha mtu ambaye anataka kumchumbia then kwanini yeye pia asiachwe?
 
Hii inatutokea wanaume wengi sema ndo Huwa tunajikaza tu mkuu
 
Back
Top Bottom