Maoni ya Mzalendo
Senior Member
- Feb 19, 2017
- 116
- 92
Toka mwaka huu unze wewe leo ndio nimeona una uwezo mdogo sana kati ya wana jf wote. Acha ulevi wa siasa utapoteza uwezo wako wa kutafakari na kutatua changamoto zinazokuhusu.Swali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Huwezi kunielewa sababu unalala kwenye nyumba ya tembe na wanaccm wenzako.Toka mwaka huu unze wewe leo ndio nimeona una uwezo mdogo sana kati ya wana jf wote. Acha ulevi wa siasa utapoteza uwezo wako wa kutafakari na kutatua changamoto zinazokuhusu.
yaani watu wakkisikia issues za CIA,KGB wanakuwa fascinated,mass hysteria kabisa hii embu jiheshimuni bana,yaani CIA itumie watanzania na wakenya walioingia kama wanafunzi kuipeleleza Russia?Russia??????Russia? Get the hell outta here,hapa bongo kwenyewe wanakuja kwa style za peace corps na issue nyingine za ku volunteer au kutumia watu wlaio katika embassy zao,naomba msome ESPIONAGE STORIES especially za cold war uone jinsi hawa mabwana walivyokuwa wana operate...
Huyu mzee hakuna anayekataa ni genius lakini ameongea uongo muda mrefu mpaka ameanza kuamini uongo and he stands by it
Tafuta hata mtu anayedanganya umri,akiurudia uongo mara nyingi yeye mwenyewe huanza kuuamini.
Jana nime search majina ya hao ma executives wa hiyo kampuni anayosema ni yake,hahahahahahahaha...JUST HAHAHA
For your information,CIA hawana historia ya kuwatupa watu wao kirahisi hata kama ni MOLES ndiyo maana kipindi cha cold war wengi kama Oleg kalugin wali defect to USA NA Kutunzwa vyema,ilihali upande wa pili walio defect from CIA to KGB kama KIM PHILLBY waliishia pabaya hadi kufa sababu Russians hawajali
NARUDIA TENA,HAIWEZEKANI CIA AU NSA WAKAJUA KUNA MTU ANA SIRI ZAO KAJIFICHA TABATA NA HALI ILE YA MAISHA ,SINCE 2000 MTU YUPO TANZANIA KAPIGIKA NYIE MNA FASCINATE TU HAPA,UNAAMBIWA BABA YAKE KAFA IN 2005 HAKWENDA KUZIKA INGAWA ALIKUWA DAR NA HADI LEO AKIPIGA SIMU NYUMBANI ANAWAAMBIA WAMSALIMIE BABA
CAMON GUYS. SINYWI HII CHAI YA RANGI. NOOOOOOOOOO
unajua uongeaji wa kisomi wa dr shika umewachanganya,hawa wangekutana na yule lecturer aliyedata pale CBE wangekimbia,labda hawajawaji kukutana na vichaa wanaoongea hadi lugha zote za dunia..Mzee kachanganyikiwa sasa imekuja issue ya u SPY ndo imewachanganya wartu kabisaMkuu naona ww leo tukonpamoja sana huu uzi haumeck cense kabsa!!! Haya madunya hata mm siwez kuyala!!!
Sio rahisi kujisema kama ni spy..nadhani hapo kwenye hela alificha kazi kutokana na sheria na maadili ya kazi yakeDuuuh..., haya ndio aliyaeleza Dk. Shika, japo alisema kwamba waliomteka na kumkata vidole walikuwa wanataka dollar milioni 1.5 na sio kwamba walimtuhumu kwa uspy. Usalama wa taifa Tanzania wanakula pesa za bure tu, hii kazi uliyoifanya ilibidi wao ndio waifanye
Mpende tu ila angalia moyo wako!Aspirin mume wangu ninakupenda sana
Wewe mbulula kweli hapa sio mahala pake hapa hakuna siasa tafuta page mpya anzisha habari zako watu wapandie sasa mambo ya Lissu vipi?Swali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Imekuchoma CCMWewe mbulula kweli hapa sio mahala pake hapa hakuna siasa tafuta page mpya anzisha habari zako watu wapandie sasa mambo ya Lissu vipi?
Kuna wakati alisema wale watu ni KGB wana mafunzo ya hali ya juu kwenye utesajiSio rahisi kujisema kama ni spy..nadhani hapo kwenye hela alificha kazi kutokana na sheria na maadili ya kazi yake
Ninaposoma comment Kama hii huwa nashangaa, nadhani ukiwa hujafanya ujasusi wowote kila story utaiona ni movieHili bashite hawezi kuamini kabisa ila jazia nyama Kwa kuweka na picha
Cold war iliwaumiza wengi mm luis nakubaliana naye 100%
Lakni balozi zetu za kiafrika suala kama hili hawawezi kuliona hata kidogo
Balozi zetu zenyewe huko marekani haziko salama nyendo zao zinafuatiliwa kila kukicha hapa kwetu mabalozi wao wanakula shumbwela na kuonekana miungu watu umasikini na ushamba utatumaliza afrika
Nasema tena Kwa kujiamini Tanzania hakuna spy anaweza kupandikizwa na kulifanikisha suala la shika tuache maigizo .shika apambane na umaarufu wake mungu ammbariki sana aendelee kuwa hai mpaka hapo atakapo ipata mizigo yake
Watu kama akina shika ni wengi na hili kosa alilifanya Mwl.J.K.Nyerere
Aliuamini sana mfumo wa kikomunist mpaka akawa anatoa vijana wetu kwenda nje bila document zozote
Le mutuz....!nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
Kweli ww Bahati hata kuwaza kwako unabahatishaSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Kweli mkuuAna kitu cha kitufunza, sio mtu wa kupuuza kabisa,
Tetetetetete CCMKweli ww Bahati hata kuwaza kwako unabahatisha
Hii ni siasa pure, wewe akili yako ndogo huwezi kuelewa mambo haya.Wewe mbulula kweli hapa sio mahala pake hapa hakuna siasa tafuta page mpya anzisha habari zako watu wapandie sasa mambo ya Lissu vipi?