Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Nadhani kama ukweli ndio huu probably Dr. anajuwa kucheza na akili ndogo akijuwa kwa vyovyote vile atapata airtime nzuri bila ya tozo lolote.mwisho wa picha anafanikiwa jambo lake pasipo na kadhia...
 
Nadhani kama ukweli ndio huu probably Dr. anajuwa kucheza na akili ndogo akijuwa kwa vyovyote vile atapata airtime nzuri bila ya tozo lolote.mwisho wa picha anafanikiwa jambo lake pasipo na kadhia...
Exactly
 
Libarikiwe tumbo lililofanikisha uwepo wako hapa Duniani bila kuwasahau wote waliouwezesha ubongo wako kuwa wa Mwanadamu haswa...
 
[emoji1] [emoji1] unaama hotel mkuu?
 
Lengo ni kujustify ulichokisema...
Huwezi kumuacha agent chizi ovyo aanze ropoka ropoka hujui mangapi atasema kama kweli alikuwa agent.
Hizi ni kahawa tu zilizozidi uchungu
Ameropoka Snowden sembuse Dokta Shika mkuu?
 
Kwa hiyo akili ya kudanganya kuwa Urusi,China,Hong Kong,USA sio kigezo cha kudanganya watu Mimi nashinda huko situmii kujua hizo Nchi nidanfanye watu ..ukitaka chai zipo nyingi sana wasafiri wanajua kuzitengeneza
Uzi umeingiliwa na box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…