Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Muanzisha mada ameonya unapokopi na kupesti kijuha ila naona huko mitandaoni wameibeba tu ....Wabongo bana
 
Uzuri vyombo vya kijasusi vya wenzetu maneno huwa ni machache vitendo zaidi. Huyu Dr. tunaemuona punguani wao utakuta wapo kimya lakini vyombo vyote vya kipelelezi alivyovitaja vinamfatilia kila taarifa yake na mwenendo wa maisha yake toka hapo awali.

Sisi huku na vyombo vyetu tunaendeleza kupiga mdomo na kumkebehi tuu bila kutaka kwenda ndani zaidi na kutopuuza na kumpuuza. Wenzetu wakiona ni mtu potential order huwa mbili execution ifanyike ili asiendelee kuropoka kama wataona ni potential lakini kuna mbadala wake ambae ni loyal kwao au wamchukue kimya kimya kama hakuna mbadala wake.

Sidhani kama tukimfatilia kwa undani zaidi atatugharimisha lolote au atatupunguzia chochote endepo tukijiridhisha na kumkuta kweli ni Juha.

"Msituni kila mbinu hutumika" tumfatilie na kujiridhisha juu ya ujuha wake.
 
Huyu mzee asaidiwe kwanza apate uhakika wa milo mitatu akili ikae sawa atasema mengi
 
Unaongea hizo habari ukiwa wapi???,, Nenda urusi ukabishane!,
 
Acha tu kaka, hapa nyumbani nilionekana sina confidence kabisa, kwa sasa napalilia nje, najigamba gamba mtaani na nini, Dr. Shika for Preseidency 2020...

Hahahaha aisee
 
Hahaha
 
Bunge likiisha na ishu itaisha wabongo ni wajinga sana tumesahaulishwa mambo kibao
 
Mh! Kumbe sio mtu wa mchezo kama tulivyodhani!! Yaan kuhusishwa na CIA na warusi sio mchezo wazee.. Hapo hakuna kubahatisha.. Maana ktk Vitendo vya upelelez duniani urusi nao wamo namba za juu.. Mpk marekani wanamlalamikia kuwaingilia uchaguz wao.. Me nafkr tuishie hapo kwny kufukua habar za huyo mzee kwa waelewa nafkr watakuwa wameshamjua.. Na ni kwann yupo vile..

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Ametuma sms kwa mabosi nipeni changu,

Spain mji wa Malaga ofisi CIA North Africa Operation zipo pale,
Hata counter terrarism operation za Niger,Nigeria,Libya,Morroco,Misri etc,misheni nyingi za africa ya kaskazin zinaanzia pale
Yes malaga.Spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…