Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Mkuu huyu Mzee hajachanganyikiwa hata Chembe moja ..... Yaani hapo nitapingana na wewe Ukimsikia alivyowabana Polisi mpaka wameshindwa kumtuhumu na kuendelea kukaa naye mbali zaidi wamekubali ajidhamini bado unatia shakaa hapo????
Mkuu tuwekee kidogo alivyowabana mapolisi
 
Mkuu huyu Mzee hajachanganyikiwa hata Chembe moja ..... Yaani hapo nitapingana na wewe Ukimsikia alivyowabana Polisi mpaka wameshindwa kumtuhumu na kuendelea kukaa naye mbali zaidi wamekubali ajidhamini bado unatia shakaa hapo????
Watu wakitulia na wakifikiria kwa umakini hawatajua si wa kawaida huyu mzee.
 
Dr Shika nilivokuwa namfikiria kaniprove wrong kabisa baada ya kufatilia story yake hasa kwenye mitandao ambayo ni mahojiano ya ana kwa ana mzee ni mkweli na hana chembechembe za ubabaishaji ...very smart anajua anachokiongea na ndo kimenifanya niamini maneno yake ....

All in all i can sum up "ni maisha " tu kuchange ndo kumemfikisha hapo alipo

Respect to you Dr Shika
NDO MANA TOKA NIMSIKIE SHIKA. SIKUWAHI KUPOSTI KEBEHI AGAINST HIM.

NAAMINI "USIMDHARAU USIYEMJUA.

MZEE ANA HAIBA YA KISOMI KABISA.
HII NI LESSON
 
Duuuh..., haya ndio aliyaeleza Dk. Shika, japo alisema kwamba waliomteka na kumkata vidole walikuwa wanataka dollar milioni 1.5 na sio kwamba walimtuhumu kwa uspy. Usalama wa taifa Tanzania wanakula pesa za bure tu, hii kazi uliyoifanya ilibidi wao ndio waifanye
NA KWELI YA U SPY SIJAYASIKIA KWA KINYWA CHA SHIKA. ILA LABDA KAFICHA.
 
nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
(In magufuli voice)
 
ni mchana unajua urusi uku miji inatofautiana masaa kwa mtu aliyeko novosibiriskiye na aliyeko sochi au volga wanatofautiana masaa mawili,

hapa moscow ni mchana kawaida saa tisa
Wew nawe wafanyaje hukko au naww spy,

Vipi, hawakuiti nyani?
 
siwezi sema ni mbinu za ccm, ila mm niachotaka kusema hapa..huyu shika, ni mtu makini sana na ambaye anatumiwa na watu wasiojulikana kwa mission isiyojulikana hadi sasa.

Kwa website aliyoitaja jana , ukiingia huko huwezi amini ukubwa wa kampuni yake ambayo kwa maelezo yake anasema iko nchi nyingi. Pia, pale chini kwenye hyo website kuna address yao..sina hakika km huko Moscow nako wanatumia P.O.BOX... Anyway.. kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu.

Ila hyo mission ilikuwa pia planned na hao YONO.. kwani walianza kutoa warning kuwa atakaye vuruga huo munada atawajibishwa kisheria..walijuaje km siyo kuwa nao walikuwa part of the mission?? Anyway itafahamika tu..km babu wa loliyondo. Time will tell.
Time will... Yes
 
Usishangae Andrew Chenge akazizungukia hizo hela na akazipiga au ubalozi wa Marekani hapa nchini wakafuatilia kwa undani na akapewa mzingo wake

Hapa leo asubuhi akipiga mihongo...
23472970_755123898017529_1873709818116544603_n.jpg
Dr ana feature ya kisomo
 
passport yake imeandikwa dr ,uhamiaji wanahoji hata ukisema wewe ni msanii? passport inasema kazaliwa 1969 by 1978 yupo mbeya anafanya kazi kama medical doctor kabla ya kupata scholarship ya Russia..Nooooo
Kitu kimoja hapa ni kwamba,huyu mzee ni genius wa zamani ila kachanganyikiwa kidogo,akili za uweledi zimebaki humohumo,ana hallucinate sana,hna tofauti na yule lecturer wa cbe aliyegeuka kichaa lakini ukikutana naye anatema madini hatari
Mkuu ina maana alianza kufanya kazi ya udaktari akiwa na miaka 9?
 
Tangu mwanzo wa kuziona zile clips,nilitambua kuwa Dokta HATANII.....ila watanzania ni watu wa kukurupuka sana,hatupendi kufikiri kwa kina.
 
Back
Top Bottom