warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Mi nachokaga na watu huko eti nakupenda lulu nakupenda wema jamaniii,,wanawapenda mno hawa wasaniii loo yaan mi nikijitahidi sana ni like natoa basiii wamekazana nakuoendaa hata hawajibiwiii
Kuna mwingine ali comment jana kwa diamond, eti ukoo wao wote wanamkubali diamond, nikasema uo ukoo una utindio wa ubongo sio bure, ushabiki gan nfyuuu