Mi nachokaga na watu huko eti nakupenda lulu nakupenda wema jamaniii,,wanawapenda mno hawa wasaniii loo yaan mi nikijitahidi sana ni like natoa basiii wamekazana nakuoendaa hata hawajibiwiii
Kuna mwingine ali comment jana kwa diamond, eti ukoo wao wote wanamkubali diamond, nikasema uo ukoo una utindio wa ubongo sio bure, ushabiki gan nfyuuu
Yaan mi sijaona wa kumwambia nampendaa aiseee mi nikiamuaga kuchamba nachamba nilimchamba shamsa eti aliandika sijui nini atakaejibu vizuri anampa fursanya kuonana nae live,nikamuambia khaaa!!yaan wewe ndio wa kuonana live una kipi cha kushangazaaaa
Natamani binamu nifungue account insta ,sema naogopa watafanya mambo yao then watajua jina langu, yan natamani kweli nianzishe mtanange kule insta
Lulu kaktutajia vitu anavyomilik vyote kasahau UKIMWI tu mi ndo namkumbusha
Fungua binam lo fungulia email fake namba feki watakupatajeee
Hivi matikibokoyao alikamatwaje wakati yupo china au alikuja bongo niniii
Punguza wivu we mrembo.Yaan mi sijaona wa kumwambia nampendaa aiseee mi nikiamuaga kuchamba nachamba nilimchamba shamsa eti aliandika sijui nini atakaejibu vizuri anampa fursanya kuonana nae live,nikamuambia khaaa!!yaan wewe ndio wa kuonana live una kipi cha kushangazaaaa
jamani njooni mmu
Mi nachokaga na watu huko eti nakupenda lulu nakupenda wema jamaniii,,wanawapenda mno hawa wasaniii loo yaan mi nikijitahidi sana ni like natoa basiii wamekazana nakuoendaa hata hawajibiwiii
I just like huo mchanganyo.. mchaga + mhaya =........
Kuna aliyevunja rekodi ya matusi majuzi hapa bibie stara..ingawa alichokozwa ni shidaaa
Hahahahahah nakupenda mpaka naumwaaaa. Kujichoresha tu
Kuna Nini?