mimi amenimaliza nguvu pale aliposema hafanyi umalaya fashion anafanyia kazi. yaani kanimaliza kabisaa, sina hamu nae.
Na huko China naskia anajiuza zake na baadhi ya wabongo ndo mana alimwambia lemutuz akamkamate tena ka ana ubavu huko Thailand.
upooo bestt
Nipo tu best nimetulia ka maji ya mtungi.
Nipo tu best nimetulia ka maji ya mtungi.
Hahaha ji sheedah, lkn bora afanyie kule atapata virus vya kichina vina vina vitamin kidogo akipata virus vya kibongo wala atakaa sana😆😆
HHaahhaaa vya kichina vinajua kucheza konfuuu,Hahaha ji sheedah, lkn bora afanyie kule atapata virus vya kichina vina vina vitamin kidogo akipata virus vya kibongo wala atakaa sana😆😆
HHaahhaaa vya kichina vinajua kucheza konfuuu,
judo na taichii
hhhiuuuuuhhhwaawawaaa
Hhhhaàaaaa
Duuu nimekumiss na iseeee
huonekaniki...
switi miss u kule mmu mbona hupiti kuna utamu balaaa
karibu tena ila pita mmu kidogo kwenye uzi wa lara uenjoyMost of the time huwa napita kimya kimya na wasoma tu nili miss sana celebrity wakati wote.
karibu tena
Vibaya hvyo kututenga wambea wenzio au ndo unaogopa sheria mpya? Tulikumisije mbea mwenzetu kijiwe kilipoa