Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua

Duuuuuu 😀😀😀😀 hadi michambo unaijua aiseee we noma
 
Back
Top Bottom