Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026

Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period.

Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu tunayapokea.
 
Mambo ni 🔥🔥🔥

Ukisikia migambo wanaruka na kukanyagana ndio hiyoo
 
1. Ndejembi ni incumbet vice president ambaye kwa kawaida alitakiwa kuingia ofisini tarehe 9 sept 2026.

2. Makamu wa rais, rais, waziri mkuu, speaker wa bunge na wabunge, mojawapo ya sababu za hao watu kukoma mara moja kutoka kwenye nafasi zao ni pale wanapokoma uanachama, maanake wamekosa udhamini wa chama chao cha kisiasa.

3. Hivyo makamu wa raisi amekoma muda ule ule alipofukuzwa uanachama
-maanake ni kuwa kufutwa kwake uachama kumefuta ule mlolongo wa hadi tarehe 4 sept, hvo si mbaya hata kesho ijumaa bunge la jmt likawa na ratiba ya kuthibitisha vp.
 
Ni sawa, athari ya kukubali notisi yake ni ipi? kuna press release ilitolewa
 
Mambo ya notice period huwa yanakuwepo kukiwa na mutual agreement. Ukishafukuzwa, mkataba wako unakufa hapo hapo!
 
Ni sawa, athari ya kukubali notisi yake ni ipi? kuna press release ilitolewa
Nadhani notis yake ingefanya kazi kama kuna makubaliano ya pande 2 (rejea dk mpango)
-pili nchimbi kavunja utaratibu kwa sababu ya kiburi au kujiona upo juu au kujiona mkubwa, ni kwamba kaachia nafasi ya uVP kiuwanaharakati (alitakiwa aandike barua au atoe notis ikulu, halafu ikulu ndo itoe taarifa kwa umma, siyo yeye), kwa kufanya hv hata kama kuna utofauti wa mawazo yangefanyiwa kazi na atoke salama kuliko kuzua taharuki (rejea dk mpango karudi hadi kumshauri rais).

nchimbi kajibiwa kama alivyokuja maana alikosa adabu na ikulu
-alitaka kuigeuza ikulu kuwa jumba la uanaharakati.

hvyo notis yake haina madhara na imesitishwa maana hakuna makubaliano ya pande mbili na ametimuliwa uanachama (tofauti na ilivyokuwa kwa dk mpango)
 
Umeandika kwa vituo, nimekuelewa
 
Back
Top Bottom