CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Hili linawezekana ikawa ni kwa sababu ya tabia yangu ya sasa baada ya Kuyumba kiuchumi, naweka mafuta ya 30, 20 mpaka 10.
Gari yangu ni 1.8L petrol, trip zangu nyingi ni town trip then home ambazo hazizidi Km 13, nilizoea nikiweka mafuta ya 40k ambapo nilikuwa napata karibu lt 17 niliweza kwenda town na kurudi zaidi ya mara 6 ndiyo taa ya mafuta inawaka.
Nimewah kuweka mafuta lt 10 na nikagundua nimetembea kama Km 86 town trip kabla ya taa kuwaka.
Kinachotokea kwa sasa ni kwamba mara nyingi taa yangu ya mafuta inawaka, na nikweka mafuta ya 10k kwa bei ya sasa taa haizimi, nikiweka ya 15 ambayo ni ltr 4.2 inazima kwa muda ila nikienda almost 15km Inawaka tena.
Hebu nishaurini, ....ni kwa sababu nakomba sana mafuta mpaka ya reserve mpaka taa haizimi (Maana kuna muda naweza nikatumiabya reserve kwa zaidi yakm 20) au nishaua pump na oxygen sensor? Nikaweke plugs Mpya? Ama shida ni nini kwa matumizi Haya ambayo kwa kweli ni makubwa?