Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo jf ilivyo πππUsukute hapo huna hata baiskeli
Na bahati mbaya dhihaka na dharau wanatoa wasionacho ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo jf ilivyo πππUsukute hapo huna hata baiskeli
duh,ni cc ngapi na in km ngapi ilizotembea,tuanzie hapo kwanza...Nina IST inanipa 10km/litre
Unatakiwa mwenyewe ufahamu gari lako linakwenda lita 1 kwa km ngapi.Hili linawezekana ikawa ni kwa sababu ya tabia yangu ya sasa baada ya Kuyumba kiuchumi, naweka mafuta ya 30, 20 mpaka 10.
Gari yangu ni 1.8L petrol, trip zangu nyingi ni town trip then home ambazo hazizidi Km 13, nilizoea nikiweka mafuta ya 40k ambapo nilikuwa napata karibu lt 17 niliweza kwenda town na kurudi zaidi ya mara 6 ndiyo taa ya mafuta inawaka.
Nimewah kuweka mafuta lt 10 na nikagundua nimetembea kama Km 86 town trip kabla ya taa kuwaka.
Kinachotokea kwa sasa ni kwamba mara nyingi taa yangu ya mafuta inawaka, na nikweka mafuta ya 10k kwa bei ya sasa taa haizimi, nikiweka ya 15 ambayo ni ltr 4.2 inazima kwa muda ila nikienda almost 15km Inawaka tena.
Hebu nishaurini, ....ni kwa sababu nakomba sana mafuta mpaka ya reserve mpaka taa haizimi (Maana kuna muda naweza nikatumiabya reserve kwa zaidi yakm 20) au nishaua pump na oxygen sensor? Nikaweke plugs Mpya? Ama shida ni nini kwa matumizi Haya ambayo kwa kweli ni makubwa?
Kaka pia mm nina chaser gx100 inaenda 10Km per L ni 2L CC. Alfu namba A, Dah jaman..πkwa gari yako ya 1.8l,nafikiri kama inakula sana mafuta,basi walau iwe 8km/l,,sasa umbali kutoka kwako mpaka town,na kurudi home unakuwa umetembea km ngapi?ongeza kiwango cha pesa ili upate lita nyingi,mafuta yamepanda bei mkuu,toyota wish ya jamaa yangu inaenda 13km/l,ila ni mpyampya bado...
Aisee mm nina GX 100 ni 2L CC inaenda 9-10km per L. Sawa na IST.... LIFE IS NOT FEARNina IST inanipa 10km/litre
29kmskwani gari ya 1290cc inabid kutembea km ngap kwa lita 1?
Mmmmh, na ya cc660 itaenda ngap sasa29kms
hiyo sio mbaya sana,hata toyota noah old model ndio litre zake hinoKaka pia mm nina chaser gx100 inaenda 10Km per L ni 2L CC. Alfu namba A, Dah jaman..π