Baada ya Kufulia sasa nahisi Gari inatumia mafuta vibaya

Unatakiwa mwenyewe ufahamu gari lako linakwenda lita 1 kwa km ngapi.

Jaza mafuta reset odometer baada ya km kama 200 jaza tena mafuta alafu chukua km ulizotembea ugawanye na lita ya mafuta iliyoingia utafahamu umetembra km ngapi.

Mfano kama gari lako tank lake linabeba lita 55, kwa mara ya kwanza kujaza mafuta kwenye tenki andaa kama Tsh. 165,000 na kwa mara ya 2 angalau uwe na Tsh. 95,000.
 
Kaka pia mm nina chaser gx100 inaenda 10Km per L ni 2L CC. Alfu namba A, Dah jaman..πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…