Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Akikutumia nyingine ni tangJamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi:
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku.
WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!...