Baada ya kufunga duka mara kwa mara na kulalamikia simjali napomuelekeza, nilimpa mtaji afungue lake. Biashara imemnyoosha, anatamani kurudi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za kuendesha biashara.

Nilikuwa na msaidizi mmoja ambaye karibu kila wiki alikuwa na sababu ya kutokuwepo kazini. alikuwa na off Jumapili lakini kila ndani ya wiki au wiki 2 kuna siku ya kazi ataunga duka. mara msiba, mara mtoto anaumwa, mara anaumwa, mara changamoto nyingine za kifamilia. Kwa kuwa nilikuwa nafahamu familia yao kiasi, sikutaka kumfukuza kwa ugomvi au kumuumiza.

Badala yake, niliamua kumsaidia aanze maisha yake ya kujitegemea. Nililipia fremu kwa miezi sita, nikamsaidia kushughulikia leseni na vibali, na nikamuongezea bidhaa za kuanzia kama mtaji.

Leo ni miezi michache imepita. Duka limeshafungwa, bidhaa zimekwisha, na biashara haikuweza kusimama.

Siku hizi ananiomba nimrudishe nimuajiri tena kwa sababu amekutana na uhalisia wa biashara. Ameelewa kuwa kile alichokuwa anakiona kama ukali au masharti kazini, mara nyingi kilikuwa ni jitihada za kuhakikisha biashara inabaki hai.

Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uyabebe mwenyewe.

Na nilishajifunza kwa uchungu ukiweka hisia kwenye biashara utapotea
 
Sio kila mtu anaweza Kufanya biashara....
Ili utoboe kwenye biashara unahitaji uwe na roho ngumu na katili sana ......

Pili uwe na nidhamu ya pesa !!!!
Zamani kabla sijaingia kwenye biashara nilikuwa nawaona wamiliki wa biashara ni watu wasio na huruma

Lakini baada ya kuingia kwenye biashara nikayakumbuka maneno ya wahenga raha ya ngoma sio kuiangalia, ingia uicheze.

Napambana sana watoto wangu hasa wenye roho za huruma waje kupata ajira panapo majaliwa, ulimwengu wa biashara na roho nyepesi haviendani
 
Two types of business people:

Wenye vision - they have the idea, the plans, the desire to bring the ideas to life, the willingness..

Wenye mitaji - ndo kama huyo mtu wako, ni hela zimemkuta ndo aanze sasa kuwaza azifanyie nini, au kapewa kabisa kitu cha kuanzia, they never had those ideas / dreams, the plans nor the desire, probably don't even have the willingness to put up with any adversaries / contingencies
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mtu asiyeweza kujisimamia wakati kaajiriwa hawezi kujisimamia akijiajiri.

Kwamba mtu asiyeenda kazini consistently ndo ukaona umpe mtaji! ! Tofauti ya yeye na wewe ni kuwa wewe umewahi kupata pesa, lakini akili mnalingana.
Ndgu hawa madogo wa 2000 ukisema usimamie Kila kitu kwa usawa nakuhakikishia utakosa mtu wa kusimamia biashara yako. Utabadilisha wafanyakazi mpaka uchoke.
 
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za kuendesha biashara.

Nilikuwa na msaidizi mmoja ambaye karibu kila wiki alikuwa na sababu ya kutokuwepo kazini. alikuwa na off Jumapili lakini kila ndani ya wiki au wiki 2 kuna siku ya kazi ataunga duka. mara msiba, mara mtoto anaumwa, mara anaumwa, mara changamoto nyingine za kifamilia. Kwa kuwa nilikuwa nafahamu familia yao kiasi, sikutaka kumfukuza kwa ugomvi au kumuumiza.

Badala yake, niliamua kumsaidia aanze maisha yake ya kujitegemea. Nililipia fremu kwa miezi sita, nikamsaidia kushughulikia leseni na vibali, na nikamuongezea bidhaa za kuanzia kama mtaji.

Leo ni miezi michache imepita. Duka limeshafungwa, bidhaa zimekwisha, na biashara haikuweza kusimama.

Siku hizi ananiomba nimrudishe kazini kwa sababu amekutana na uhalisia wa biashara. Ameelewa kuwa kile alichokuwa anakiona kama ukali au masharti kazini, mara nyingi kilikuwa ni jitihada za kuhakikisha biashara inabaki hai.

Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uyabebe mwenyewe.

Na nilishajifunza kwa uchungu ukiweka hisia kwenye biashara utapotea
 
Ndgu hawa madogo wa 2000 ukisema usimamie Kila kitu kwa usawa nakuhakikishia utakosa mtu wa kusimamia biashara yako. Utabadilisha wafanyakazi mpaka uchoke.
Yes.

So ukiona dogo haeleweki, hajiongezi, hajitumi, solution ni kumfungulia biashara? 🤣 kwakweli this is the most foolish thing I've heard this year!
 
Biashara imekufa kwasababu amepewa kilakitu, yaani hajaanza na 0 kutafuta hadi kupata, kama angeanza kujitafuta from zero hadi kuja kupata duka kamili nina kuhakikishia angekua na uchungu.....
Pesa ya kupewa huwa haiumi,

Hata mimi pesa ninayopewa na boyfriend huwa naifanyia matumizi ya hovyo hovyo ila ile yangu niliyoipata kwa uchungu huwa niko nayo makini sana
 
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za kuendesha biashara.

Nilikuwa na msaidizi mmoja ambaye karibu kila wiki alikuwa na sababu ya kutokuwepo kazini. alikuwa na off Jumapili lakini kila ndani ya wiki au wiki 2 kuna siku ya kazi ataunga duka. mara msiba, mara mtoto anaumwa, mara anaumwa, mara changamoto nyingine za kifamilia. Kwa kuwa nilikuwa nafahamu familia yao kiasi, sikutaka kumfukuza kwa ugomvi au kumuumiza.

Badala yake, niliamua kumsaidia aanze maisha yake ya kujitegemea. Nililipia fremu kwa miezi sita, nikamsaidia kushughulikia leseni na vibali, na nikamuongezea bidhaa za kuanzia kama mtaji.

Leo ni miezi michache imepita. Duka limeshafungwa, bidhaa zimekwisha, na biashara haikuweza kusimama.

Siku hizi ananiomba nimrudishe kazini kwa sababu amekutana na uhalisia wa biashara. Ameelewa kuwa kile alichokuwa anakiona kama ukali au masharti kazini, mara nyingi kilikuwa ni jitihada za kuhakikisha biashara inabaki hai.

Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uyabebe mwenyewe.

Na nilishajifunza kwa uchungu ukiweka hisia kwenye biashara utapotea
Ili ufanikiwe unahitaji kuwa na roho ngumu ili ufanye kitu sahihi na bora
 
Hata hivyo unaroho ya huruma umempa na fremu
 
AIse biashara ni jambo nyeti sana sio kama watu wengi wanavyolichukulia
 
Ukiona mtu kafanikiwa kwenye biashara mpigie salute
Yes.

So ukiona dogo haeleweki, hajiongezi, hajitumi, solution ni kumfungulia biashara? 🤣 kwakweli this is the most foolish thing I've heard this year!
Kwenye kumfungulia duka jamaa kachemka ama kaongezea chumvi...!
 
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za kuendesha biashara.

Nilikuwa na msaidizi mmoja ambaye karibu kila wiki alikuwa na sababu ya kutokuwepo kazini. alikuwa na off Jumapili lakini kila ndani ya wiki au wiki 2 kuna siku ya kazi ataunga duka. mara msiba, mara mtoto anaumwa, mara anaumwa, mara changamoto nyingine za kifamilia. Kwa kuwa nilikuwa nafahamu familia yao kiasi, sikutaka kumfukuza kwa ugomvi au kumuumiza.

Badala yake, niliamua kumsaidia aanze maisha yake ya kujitegemea. Nililipia fremu kwa miezi sita, nikamsaidia kushughulikia leseni na vibali, na nikamuongezea bidhaa za kuanzia kama mtaji.

Leo ni miezi michache imepita. Duka limeshafungwa, bidhaa zimekwisha, na biashara haikuweza kusimama.

Siku hizi ananiomba nimrudishe nimuajiri tena kwa sababu amekutana na uhalisia wa biashara. Ameelewa kuwa kile alichokuwa anakiona kama ukali au masharti kazini, mara nyingi kilikuwa ni jitihada za kuhakikisha biashara inabaki hai.

Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uyabebe mwenyewe.

Na nilishajifunza kwa uchungu ukiweka hisia kwenye biashara utapotea
Kwa tz ng'ombe haendi bila mijeredi

Watz hadi tusukumwe sukumwe ndio tujitume
 
Hata hivyo unaroho ya huruma umempa na fremu
⁹

Labda kama alikuja nyumba mdogo apo sawa,ila ivi ivi hapana unatupanga
 
Back
Top Bottom