warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Mjini kuvaa shela sio masiara unahitaji juhudi binafsi sana.
Ila kweli kuvaa shera sio mchezo, mama ubaya kila siku anaota walau hata aolewe jumamosi jumatatu aachike ili tu aonekane kaolewa, kuolewa bahati, wamuache cheusi dawa bhana, halafu kaolewa na mtasha apo bongo movie lazima wachonge, maana wao hata akina abdala msogoti wa kuwaoa hawajapata na hawatarajii