Mjini kuvaa shela sio masiara unahitaji juhudi binafsi sana.
Naona akina maya walivaa sare special kwa ajili ya kumchamba mtu, ile movie kiboko ntaitafuta
Warumi uko wapi nasikia diamond anataka kumuoa meninah na vikao vimeshaanza!
Simpendagi wema ila roho ya huruma imeniingia jamani yani domo akifanya hivyo atamuumiza sana dada wa watu
Cheusi dawa anatukana mamba sbb ashavuka mto
Cheusi dawa yupo vizur, maana kwao zipo na si unajua sharti la mtoto wa kishua lazima lugha ya malkia ipande? Maana kashafanya movie kama nne uko ghana na australia na rwanda
Alafu huyu mzungu ni grade 4 (yani mzungu daraja LA mwisho) kule Denmark.Huyu nae cheusi dawa anajishau, halafu Dinazarde huyu mzungu hata simuelewagi, alivyo kama hamnazo naonaga tu anavyoendeshwa na lucy, yani kama poyoyo.
Halafu naye huyu lucy toka avae hilo shera anajiona mjanja, wakat hata akina aunty na uwoya walizivaa zikawashinda, asituletee usiku apa, tutajuaje kama walikuwa wanaigiza movie je aende uko
Shoga si kila mzungu Ana hela..wengine ni chokest hata wabongo wana afadhali. Mzungu mwenye maisha yake asingetokezea vile ndo maaba Lucy kimemuuma. Kuna pamba za ukweli ambazo hata kama sio suti bado angeonekana classy. Kimuonekano pale kachoka tu. Ni Kama babu aliyeko kwenye profile yangu. Mzungu mwenye maisha yake ni nadra Sana kuoa mbongo wa kawaida labda kwa uchawi. Wengi Wanaokuja kuoa waafrika no daraja LA mwisho kielemu, kimuonekano n.k. tena hao nordic na Scandinavia ni wabaguzi Sana..Et wakapata na ajali wakazama aisee nimecheka na kusikitika ,ila huwez jua walitaka wao hivyo kwan unadhan mzungu hakua na pesa ya shela nzuri,wazungu hua hawajali kuhusu mavazi bana
Shoga si kila mzungu Ana hela..wengine ni chokest hata wabongo wana afadhali. Mzungu mwenye maisha yake asingetokezea vile ndo maaba Lucy kimemuuma. Kuna pamba za ukweli ambazo hata kama sio suti bado angeonekana classy. Kimuonekano pale kachoka tu. Ni Kama babu aliyeko kwenye profile yangu. Mzungu mwenye maisha yake ni nadra Sana kuoa mbongo wa kawaida labda kwa uchawi. Wengi Wanaokuja kuoa waafrika no daraja LA mwisho kielemu, kimuonekano n.k. tena hao nordic na Scandinavia ni wabaguzi Sana..
Lakini anatosha jamani kampenda mwenyewe eti Mrembo
Kwani tumebishaaaa (kwa sauti ya masanja) ila aache vijembe bwana. Oohh sizini tena ooohhh sijui nini aachane kujibizana na walimwengu hatawaweza. Kama sisi hapa hatuoni ila ndio tunamteta aje basi atujibu hahaha
Kwa hiyo huyo mzungu ni sawa na yule wa kule mtaa wa pili eti