Baada ya kufunga solar power kijijini kwangu vitimbwi vimeanza

Afu nasuburi umalizie story
 
Mavi na uchawi ni stories maarufu sana kwa wabongo wengi.

Naona wewe umezichanganya zote pamoja kupata maximum effect.

Halafu unajua kuacha cliffhanger kuliko "Isidingo".
 
Stori zako zinaniachaga hoi kwa vicheko lakini yote yanachagizwa na Avatar yako yaani kuna jamaa mnafanana sana, naye pia ni kama yupo mbele dakika kama sita ama zaidi kidogo. Lakini ni mkali kwa akina dada, jamaa akifanyakazi / vibarua akipata pesa yupo radhi alale njaa lakini wavaa sketi wasimpite ingawa ndo hivyo wengi uwa wanamtapeli lkn wakati mwingine uwa anafanikiwa.
Jamaa yupo mikoa ya kanda ya ziwa, Sijui ni ndugu yako ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…