Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Jamii forums inahusianaje na ligi kupooza au kuchangamka?
Kuna watu mmeamua kutokua na akili kabisa?
Kuna watu mmeamua kutokua na akili kabisa?
I see......Aiseeee...
Subiri utaona. Pia nimejumuisha mitandao ya kijamii kwa ujumlaJamii forums inahusianaje na ligi kupooza au kuchangamka?
Kuna watu mmeamua kutokua na akili kabisa?
Nitaona nin? Hebu nieleze kwa utulivu niaje jamii forums inasababisha ligi kuchangamka au kupooza? NielewesheSubiri utaona. Pia nimejumuisha mitandao ya kijamii kwa ujumla
Unauliza maswali ambayo majibu unayo. Soma vizuri kabla ya kuanzisha mabishano, acha kukurupuka dogo.Nitaona nin? Hebu nieleze kwa utulivu niaje jamii forums inasababisha ligi kuchangamka au kupooza? Nieleweshe
Mitandao mingine kama ipi?
Huna hoja? Nakuuliza jamii forums inahusianaje na ligi kuu?Unauliza maswali ambayo majibu unayo. Soma vizuri kabla ya kuanzisha mabishano, acha kukurupuka dogo.
Majibu ya maswali yako yapo katika uzi huu huu. TusichoshaneHuna hoja? Nakuuliza jamii forums inahusianaje na ligi kuu?
Hili swali ni gumu?
Sijaona ugumu wa swali nililouliza, "jf inahusiana vipi na ligi"Majibu ya maswali yako yapo katika uzi huu huu. Tusichoshane
Ushauri unaotoa ungeanza kuufuta wewe kwanza ningekuona wa maanaSijaona ugumu wa swali nililouliza, "jf inahusiana vipi na ligi"
Umepewa akili zitumie, usikubali kufa bila kutumia hata kidogo akili ulizopewa