Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

Jamii forums inahusianaje na ligi kupooza au kuchangamka?

Kuna watu mmeamua kutokua na akili kabisa?
 
Subiri utaona. Pia nimejumuisha mitandao ya kijamii kwa ujumla
Nitaona nin? Hebu nieleze kwa utulivu niaje jamii forums inasababisha ligi kuchangamka au kupooza? Nieleweshe

Mitandao mingine kama ipi?
 
Nitaona nin? Hebu nieleze kwa utulivu niaje jamii forums inasababisha ligi kuchangamka au kupooza? Nieleweshe

Mitandao mingine kama ipi?
Unauliza maswali ambayo majibu unayo. Soma vizuri kabla ya kuanzisha mabishano, acha kukurupuka dogo.
 
Unauliza maswali ambayo majibu unayo. Soma vizuri kabla ya kuanzisha mabishano, acha kukurupuka dogo.
Huna hoja? Nakuuliza jamii forums inahusianaje na ligi kuu?
Hili swali ni gumu?
 
Majibu ya maswali yako yapo katika uzi huu huu. Tusichoshane
Sijaona ugumu wa swali nililouliza, "jf inahusiana vipi na ligi"
Umepewa akili zitumie, usikubali kufa bila kutumia hata kidogo akili ulizopewa
 
Sijaona ugumu wa swali nililouliza, "jf inahusiana vipi na ligi"
Umepewa akili zitumie, usikubali kufa bila kutumia hata kidogo akili ulizopewa
Ushauri unaotoa ungeanza kuufuta wewe kwanza ningekuona wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…