Asante kwa Mchango wako wa Mawazo na sina budi Kuuheshimu na ikiwezekana Wahusika wakiona uko sahihi mahala fulani basi waufanyie Kazi kwa faida ya Klabu yetu pendwa ya Simba.
Japo ni mapema sana lakini mkuu bila shaka utakuwa umeshaona kitu kwa Banda.
Simba tuna average players wengi sana wanapewa nafasi kuliko hawa madogo promising kama Banda,Sakho na Jimmyson.
Nimesisitiza hili mara nyingi jukwaani Banda,Sakho na Jimmyson wapewe nafasi, matunda yake taratiiibu tumeanza kuvuna.
Tena hakukuwa na sababu ya kumtoa kwa mkopo Ndemla halafu unamuacha Dilunga kikosini! Naye Kibu na Mwenda wachambuzi uchwara waache kuwa-hype hao siyo Simba material kabisa.
kwann umemtaji kibu kibuyu sijui hapo umeharibu andiko lako looooote ,huyoo atoke Simba hatufai sijui saloon anayosukaga Rasta hua wanamdanganya maswala ,hovyo kabisa maeneo yakufanya Jambo lamana yeye hubakia kujinyea nyea tu