BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu